Yanga wakamatwa goli la KMC rushwa tupu!

Kumbe Yanga ina pesa tena sio omba omba kama Simba msemavyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani Yanga inavyoshinda michezo yake ya ligi Simba wanateseka na kuumia kuliko Simba wanapochapwa 5-0 na Vita na hata Waarabu...dah ni hatari...hawa Simba msimu huu watateseka sana kwani maeneo ya wao kuteseka yako mengi mno
 
Hatamkishinda mtachukua nn labda
 
Back
Top Bottom