Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat...Ni mchezaji mzuri sana!
Hakuna shaka juu ya uwezo wake, kama atafikia asilimia 50 tu ya uwezo wake ninaoujua atasumbua na kuimbwa sana!
Changamoto ya nyota huyo wa Kimataifa wa Zimbabwe ni majeraha ya muda mrefu...
Tangu akiwa Mamelodi Sundowns alikua na changamoto kadhaa kama Misuli,Nyonga,goti na msimu 2016/2017 aliwahi kukaa siku 37 akiuguza majeraha yasiyojulikana...Sawa na siku 97 alizokaa akiuguza majeraha yasiyojulikana akiwa na Kaizer Chiefs.
Akiwa Kaizer Chiefs,Khama ameendelea kukumbwa na majeraha ya Goti (Knee Injury) Achilles tendon problems,Hamstring Injury,Fractured Leg na sasa tatizo la kinena (Groin Injury) limemuweka nje kwa siku 145.
✍️ Sospeter Ilagila