Yanga walikua vizuri kupanga mashambulizi kuliko Simba

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mpaka Kipenga cha Mwisho Yanga 1 Simba 1.
Nimefuatilia mpira kwa ukaribu Yanga wamejenga mashambulizi ya hatari sana kuliko Simba na wamepiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Simba wakiwa wamepiga mashuti 9 yaliyolenga goli.

Yanga waliingia kwenye mchezo huu wakipewa nafasi ndogo kabisa ya ushindi huku wapinzani wao wakipewa nafasi kubwa na hata vyombo vingi vya habari na wachambuzi mbalimbali wa kabumbu waliwapa Simba Nafasi kubwa ya Ushindi.Hii ni kutokana na usajili wao wa bilioni kadhaa waliofanya wakichagizwa na wachezaji kama Niyonzima,Nyoni,Okwi wao wakimwita kiboko ya Yanga,Boko na Manula.

Sifa kubwa kwa Simba apewe Kipa wao Aishi Manula kwa kuokoa michomo ya hatari langoni mwake huku kwa Yanga wapewe wachezaji wote kwa kucheza kitimu zaidi,Na pia wachezaji muhimu wa Yanga kama Ngoma,Tambwe,Kamusoko wamekosa mchezo wa leo kwa sababu za majeruhi.

Pia Simba waliuchukulia mchezo huu kwa umakin zaidi wakisema Yanga anakula bakora 7 leo na kuweka Kambi Zanzibar huku Yanga wakibaki Bara na Simba kufikia hoteli ya Serena huku Yanga wakifika hoteli za kawaida tu.

Bravo Lwandamina na Nsajigwa.
 
Naona siku hizi kila mechi mnasema yanga alipewa nafasi ndogo kushinda! Sio mbaya mkuu, haya ni mambo ya defensive mechanism
 
Yanga hii ni bora sana,hongera Mkwasa ,hongera Lwandamina ,hongera Nsajigwa.Kama alivyosema kocha msaidizi aliyefukuzwa wa Simba Jack Mayanja,Yanga anachukua ubingwa maa ya nne mfululizo.
 
Aisee naangalia azam tv hapa mashabiki wa Yanga wanaongea kwa busara sana huku Simba wakiendelea na maneno yao ya kashfa.

Mwisho wa Siku Yanga anabeba ndoo mtani akikimbilia Fifa.
 
Yanga hii ni bora sana,hongera Mkwasa ,hongera Lwandamina ,hongera Nsajigwa.Kama alivyosema kocha msaidizi aliyefukuzwa wa Simba Jack Mayanja,Yanga anachukua ubingwa maa ya nne mfululizo.
Asanteni kaka na tena niwapongeze wasemaji wa yanga wanaenda na Sayansi ya mpira hawana maneno mengi bali tunaona vitendo zaidi.
 
Simba usajili wa bilioni kumbe ni kwa ajili ya Stendi Utd, Njombe sijui Lipuli fc etc. Timu za maana kama Yanga, Azam & Mtibwa haifui dafu[emoji12] [emoji12]
 
Mpaka Kipenga cha Mwisho Yanga 1 Simba 1.
Nimefuatilia mpira kwa ukaribu Yanga wamejenga mashambulizi ya hatari sana kuliko Simba na wamepiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Simba wakiwa wamepiga mashuti 9 yaliyolenga goli.

Yanga waliingia kwenye mchezo huu wakipewa nafasi ndogo kabisa ya ushindi huku wapinzani wao wakipewa nafasi kubwa na hata vyombo vingi vya habari na wachambuzi mbalimbali wa kabumbu waliwapa Simba Nafasi kubwa ya Ushindi.Hii ni kutokana na usajili wao wa bilioni kadhaa waliofanya wakichagizwa na wachezaji kama Niyonzima,Nyoni,Okwi wao wakimwita kiboko ya Yanga,Boko na Manula.

Sifa kubwa kwa Simba apewe Kipa wao Aishi Manula kwa kuokoa michomo ya hatari langoni mwake huku kwa Yanga wapewe wachezaji wote kwa kucheza kitimu zaidi,Na pia wachezaji muhimu wa Yanga kama Ngoma,Tambwe,Kamusoko wamekosa mchezo wa leo kwa sababu za majeruhi.

Pia Simba waliuchukulia mchezo huu kwa umakin zaidi wakisema Yanga anakula bakora 7 leo na kuweka Kambi Zanzibar huku Yanga wakibaki Bara na Simba kufikia hoteli ya Serena huku Yanga wakifika hoteli za kawaida tu.

Bravo Lwandamina na Nsajigwa.

Kweli kabisa.Mie sikuangalia mpira wote ila kwa kipindikifupi nilichoangalia naungamkono hoja. Kuna attempt ya Tshishimbi,Mwashuya na ile ya Martini hizi zote zilikuwa hatari sana. Kwa upande wangu Manula leo ndiyo man of the match. Keeper wa Yanga si dhani kama amepata misukusuko kama Manula zaidi ya lile goli ambalo kwa maoni yangu ni makosa ya keeper. Pamoja na ubora wa kikosi,Simba kuna kitu wana-miss kwa kweli.
 
in
Mpaka Kipenga cha Mwisho Yanga 1 Simba 1.
Nimefuatilia mpira kwa ukaribu Yanga wamejenga mashambulizi ya hatari sana kuliko Simba na wamepiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Simba wakiwa wamepiga mashuti 9 yaliyolenga goli.

Yanga waliingia kwenye mchezo huu wakipewa nafasi ndogo kabisa ya ushindi huku wapinzani wao wakipewa nafasi kubwa na hata vyombo vingi vya habari na wachambuzi mbalimbali wa kabumbu waliwapa Simba Nafasi kubwa ya Ushindi.Hii ni kutokana na usajili wao wa bilioni kadhaa waliofanya wakichagizwa na wachezaji kama Niyonzima,Nyoni,Okwi wao wakimwita kiboko ya Yanga,Boko na Manula.

Sifa kubwa kwa Simba apewe Kipa wao Aishi Manula kwa kuokoa michomo ya hatari langoni mwake huku kwa Yanga wapewe wachezaji wote kwa kucheza kitimu zaidi,Na pia wachezaji muhimu wa Yanga kama Ngoma,Tambwe,Kamusoko wamekosa mchezo wa leo kwa sababu za majeruhi.

Pia Simba waliuchukulia mchezo huu kwa umakin zaidi wakisema Yanga anakula bakora 7 leo na kuweka Kambi Zanzibar huku Yanga wakibaki Bara na Simba kufikia hoteli ya Serena huku Yanga wakifika hoteli za kawaida tu.

Bravo Lwandamina na Nsajigwa.

Ingekua vyema mbali na kuzungumzia mashuti yaliyolenga goli pia ungezungumzia ni timu gani
  • Imeongoza kwa posesheni a.k.a imetandaza soka la uhakika katika mechi hiyo.
  • Iligeuza mchezo wa soka kua rugby, kwa wachezaji wake kuzawadiwa kadi za kutosha

stat.PNG

Lakini kwa ulichokifanya, hakikubaliki.
 
Back
Top Bottom