OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sijafungua video ila naungana na wewe huyo jamaa mpumbavuMpumbavu tu.
Baadhi ya mijitu ya Simba siyo mijinga tu bali ni mipumbavu na mishenzi pamoja...yaani shabiki liko kwenye mechi isiyolihusu halafu linatamba eti tumekuja kuhakikisha Yanga inafungwa...Sasa unadhani wenye Yanga watafanya Nini?!
Baadhi ya mijitu ya Simba siyo mijinga tu bali ni mipumbavu na mishenzi pamoja...yaani shabiki liko kwenye mechi isiyolihusu halafu linatamba eti tumekuja kuhakikisha Yanga inafungwa...Sasa unadhani wenye Yanga watafanya Nini?!
We ndio mpumbavu kiwango cha PhD.Mechi ni burudani kwa wote mashabiki na wasio mashabiki.Basi inabidi pale mkapa yanga ikicheza watu wawe na kadi maalumu za mashabiki wa yanga ili waingie yanga tu.umeandika utopolo na unatoka utopolo scBaadhi ya mijitu ya Simba siyo mijinga tu bali ni mipumbavu na mishenzi pamoja...yaani shabiki liko kwenye mechi isiyolihusu halafu linatamba eti tumekuja kuhakikisha Yanga inafungwa...Sasa unadhani wenye Yanga watafanya Nini?!
Umeonyesha ujinga na upumbavu na pia ushenzi pamoja....kuingia uwanjani siyo issue hapa ..suala hapa ni kutangaza kufanya hujuma kwa timu nyingine...huu ndio ushenzi na ujinga pamoja na upumbavu....We ndio mpumbavu kiwango cha PhD.Mechi ni burudani kwa wote mashabiki na wasio mashabiki.Basi inabidi pale mkapa yanga ikicheza watu wawe na kadi maalumu za mashabiki wa yanga ili waingie yanga tu.umeandika utopolo na unatoka utopolo sc
Hujuma zinafanywa na mtu ambaye hachezi? Au jamaa kusema hivyo maana yake ni kweli wasingeshinda?Umeonyesha ujinga na upumbavu na pia ushenzi pamoja....kuingia uwanjani siyo issue hapa ..suala hapa ni kutangaza kufanya hujuma kwa timu nyingine...huu ndio ushenzi na ujinga pamoja na upumbavu....
Kutamka maneno hayo haijalishi Kama ni kweli au uongo...mradi umetamka basi hilo ni kosa...Soma sheria...penal code...ukimtamkia mtu Kama nitakua haijalishi Kama kweli utamuua au hutamuua...ni kosa moja kwa moja...Sasa basi mwanasimba mmoja amerikodiwa anasema tumekuja hapa kwa lengo moja tu kuihujumu Yanga kuhakikisha kuwa haishindi...na anaendelea kutamba kuwa wataendelea kufanya hivyo Kila mechi...Sasa huyo alipaswa kuhojiwa na polisi pamoja na TFF...Hujuma zinafanywa na mtu ambaye hachezi? Au jamaa kusema hivyo maana yake ni kweli wasingeshinda?
Au Yanga bado wanaamini Ushirikina na sio kucheza mpira?
Yaani mashabiki wa utopolo wanamini ktk ushirikina kiliko ubora wa kikosi chao, duuh ndio maana magoli yao mpaka kona ipigwe
"Simba chuo kikuu cha mpira Tanzania" Bernad MorrisonBaadhi ya mijitu ya Simba siyo mijinga tu bali ni mipumbavu na mishenzi pamoja...yaani shabiki liko kwenye mechi isiyolihusu halafu linatamba eti tumekuja kuhakikisha Yanga inafungwa...Sasa unadhani wenye Yanga watafanya Nini?!
Alisikika mchezaji mmoja ambaye ana dalili za matatizo kichwani..."Simba chuo kikuu cha mpira Tanzania" Bernad Morrison
Dawa ni kuwapasua tu wapuuzi hawaBaadhi ya mijitu ya Simba siyo mijinga tu bali ni mipumbavu na mishenzi pamoja...yaani shabiki liko kwenye mechi isiyolihusu halafu linatamba eti tumekuja kuhakikisha Yanga inafungwa...Sasa unadhani wenye Yanga watafanya Nini?!
Lile jamaa ukilichunguza vizuri ni litaahira liveAlisikika mchezaji mmoja ambaye ana dalili za matatizo kichwani...
Umeonyesha ujinga na upumbavu na pia ushenzi pamoja....kuingia uwanjani siyo issue hapa ..suala hapa ni kutangaza kufanya hujuma kwa timu nyingine...huu ndio ushenzi na ujinga pamoja na upumbavu....
Malalamiko SC,simba ikishinda wamebebwa,yanga ikifungwa imehujumiwa,lkn ikipata matokeo mazuri Ni halali.Jengeni mfumo wa timu yenu mpate matokeo bora.Umeonyesha ujinga na upumbavu na pia ushenzi pamoja....kuingia uwanjani siyo issue hapa ..suala hapa ni kutangaza kufanya hujuma kwa timu nyingine...huu ndio ushenzi na ujinga pamoja na upumbavu....
Dawa ni kuwapasua tu wapuuzi hawa