Yanga walitoa Sauti kwenye ile video wakaidai Simba wanapulizia dawa vyumbani

Mbumbumbu washazoea michezo yao ya kupulizia simu vyumbani.
 
yanga na wachawi hawana tofauti tabia zao za kutunga vitu vya uongo hawawezi kuiacha sasa hivi mechi zao zinaahirishwa wala hawapigi kelele ila pale watakapopangiwa mechi mfululiozo kama Simba ndio utasikia sauti malalamiko kwenye kila chombo cha habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…