Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwenye haya mambo ya termination of contracts Yanga walikuwa smart sana ila makolo mlikaza vichwa.
Turudi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yanga sc waliwatadhalisha kwenye sakata la FEI TOTO kuwa kama mchezaji ataondoka klabuni kwa mfumo wa FEI TOTO basi wachezaji wengi wataondoka kwa mfumo huo huo, hawatoiheshimu mikataba.
Mapenzi yalipozidi uhalisia tukaona FEI TOTO yupo sahihi kuondoka kwa mfumo wa kurudiaha fedha.
Sasa hivi wachezaji hawaiheshimu mikataba yao.
DUBE to Yanga SC.
AWESU AWESU to Simba SC Tanzania
LAMECK LAWI kasaini Simba SC. Tanzania yupo ubelgiji.
KIBU DENIS kasaini Simba anaelekea anga zingine za kimataifa.
Ishu si nikurejesha fedha tu? Acha warejeshe.