Sasa Azam wanunue mechi ya kombe la Mapinduzi kwa pesa ipi watakayoipata baada ya kushinda?!
Kombe hili ni kama mazoezi na kulinda heshima.
Mlizidiwa, period!
Kwa hiyo mnauza sh ngapi na wengine tuje tuwanunue? Na kijiwe chenu kipo mitaa gani?
Mshabiki wa simba unaongelea mpira... Mwezi ujao Safari za ndege zinaanza... Tunakutana na wakubwa wenzetu nyie shangilieni mapinduzi cupHawa Azam wabaya sana. Walijifanya kusinzia. Jamaa akaingia mzima mzima bila chupi. Kutahamaki mnara wa 4G umeshaingia. Wamejaribu kuchomoa wapi.Mnara wa 4G umenata.