kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Leo nimesikia Senzo amekamatwa kwa sakata la tuhuma za kumaswa kwa mawasiliano yake akishawishi mmoja ya watu wa Simba ili Simba ihujumiwe kwenye mechi zake na kama tulivyoona hasa mechi ya prisons.
Hata hivyo suala hili zaidi ya kuliona kwenye akaunti za insta ambazo nyingi zimejaa umbea na si za kuaminika,sijasikia vyombo vya habari vikiliongelea. Badala yake, ninasikia umbea wa mara Chama amesajiliwa Yanga, mara Onyango ana corona! Na wamefanikiwa sana kuvuruga mijadala ya matukio halisi yanayotokea.
Kwa jinsi hii naona kweli yanga wamewekeza sana nje ya uwanja na bila shaka hadi nje ya nchi ili kuleta propaganda za kuwaangusha watani zao Simba.
Nakubali kauli ya Eng. Hersi kuwa yanga isipochukua ubingwa, walaumiwe wao.Hizi nguvu za kuteka vyombo vyote vya habari, imenitisha.