Yanga wamepoa bardiii utazani kesho hamna mechi kubwa.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Ni kama Yanga wameamua kuwa wanyonge nyuma ya Simba. Yaani kesho mechi kubwa lakini utazani mechi itachezwa mwezi ujao!! Sjui chanzo cha unyonge huu ni nn. Ni Zahera pekee ndio kabaki na imani na timu. Wengine bardiiiiiiiii!!!!
 
Wafanyaje ss

Yanga siku zote wanaingia kwa tahadhari kwakua wanauzoefu na michuano ya CAF , hawana maneno mengi ila wazee wa mchangani uwa wanakurupuka ndiomaana wamerudi eneo lao mchangani.
 
Wewe ulikua unataka tufanye nini labda? Sisi hatuna kejeli wala maneno ya Manarwa na hiyo ndio maana ya wananchi huru.

Ni kama Yanga wameamua kuwa wanyonge nyuma ya Simba. Yaani kesho mechi kubwa lakini utazani mechi itachezwa mwezi ujao!! Sjui chanzo cha unyonge huu ni nn. Ni Zahera pekee ndio kabaki na imani na timu. Wengine bardiiiiiiiii!!!!
 
iyo mechi kwa yanga ni ya kawaida kma vile tuko na pamba, toto ama namungo. mikia ndo mnaiona kubwaaaa
 
Baada ya kuuza mzigo wote wa mwanzo tumeleta mwingine
 
Ni kama Yanga wameamua kuwa wanyonge nyuma ya Simba. Yaani kesho mechi kubwa lakini utazani mechi itachezwa mwezi ujao!! Sjui chanzo cha unyonge huu ni nn. Ni Zahera pekee ndio kabaki na imani na timu. Wengine bardiiiiiiiii!!!!
Acha kitafuta sifa kupitia Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…