Yanga wameshinda derby 3 kati ya 4 za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga

Yanga wameshinda derby 3 kati ya 4 za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga

Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na moja Simba.

1741240798565.jpeg
Hizi ni takwimu za matokeo ya michezo aliyochezesha Arajiga:

Yanga 2-1 Simba (20/4/2024) - Ligi Kuu.
Simba 1-5 Yanga (5/11/2023) - Ligi Kuu.
Yanga 1-0 Simba (28/5/2022) - Nusu Fainali FA.
Yanga 0-1 Simba (25/7/2021) - Fainali FA.

Mwamuzi Arajiga atakuwa kati ya dimba tena katika mchezo ujao wa derby tarehe 8/3/2025.

Soma, Pia
 
Back
Top Bottom