Yanga wametoka bwanaaa! Inauma ila itabidi mzoee

Hii itawafanya wajue kumbe Kuna kombe la mwakarobo na la ranking. Walifikiri kuingia robo mfululizo ni porojo porojo tuu. Simba aliwahi ongoza kundi lenye Al ahly
Tulipokuwa tunawaambia washinde mechi zao zote za nyumbani ndipo waanze kufikiria habari ya robo fainali wakawa wanatuona domokaya. Hapana ganda la ndizi kwenye Champions league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…