Yanga wametoka sare nchi nzima ina furaha, hakuna mgao wa maji wala umeme

Yanga wametoka sare nchi nzima ina furaha, hakuna mgao wa maji wala umeme

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Hatimae Yanga imefanya kweli, imekubali kutoka sare kwenye Uwanja wa Mkapa na Klabu African ya Tunisia na kusababisha furaha na shangwe kubwa kwa wananchi, na kupelekea mgao wa maji na umeme kwisha kabisa baada ya matokeo hayo.

1667420496146.jpg
1667401733142.jpg
 
Huyo jamaa kashiikilia kichwa kisidondoke, ana mawazo.
 
Ni sawa na mtu aamue kulewa ili kusahau matatizo yake kwa muda! ila pombe zikimuisha kichwani anakuta hakuna lililobadilika.
 
Back
Top Bottom