Dah...[emoji848][emoji848][emoji848]Huyo jamaa kashiikilia kichwa kisidondoke,ana mawazo.
Wenye akili watakuelewa ulichoandika.Hatimae Yanga imefanya kweli, imekubali kutoka sare kwenye Uwanja wa Mkapa na Klabu African ya Tunisia na kusababisha furaha na shangwe kubwa kwa wananchi, na kupelekea mgao wa maji na umeme kwisha kabisa baada ya matokeo hayo.
View attachment 2405415View attachment 2405416
Hatimae Yanga imefanya kweli, imekubali kutoka sare kwenye Uwanja wa Mkapa na Klabu African ya Tunisia na kusababisha furaha na shangwe kubwa kwa wananchi, na kupelekea mgao wa maji na umeme kwisha kabisa baada ya matokeo hayo.
View attachment 2405415View attachment 2405416
Hawaamini waonacho,wajua waenda mochwari kisha unajipamba.