Kabisa....Kama kocha wa yanga atazichanga karata zake vizuri next season kwenye mashindano ya afrika Caf champions league
Nawaona yanga kwenye anga za ajax 2019 ambayo ilisumbuwa vigogo Kama Real Madrid na wengine.
Inawezekana wengi wenu wanaweza kuona yanga wana timu ya kawaida kutokana na aina ya wachezaji ambao wanao wengi wao hawana majina makubwa barani afrika au wametoka kwenye timu za kawaida au walikuwa wanasugua benchi last season.
Lakini nataka ni waambie kuwa yanga wana timu tishio kwa vigogo wakiendelea kucheza huu mpira wa kushambulia kwa kasi kuna watu watapoteza nje ndani
View attachment 2697383
Una akili. Kati ya wale 2 aliosema Manara wewe utakuwa was 3. Yanga msimu huu ni roho mkononi. Eti watu waliangalia mechi ya siku ile moja Tena friendly match waka-conclude kuwa no hatari. Ngoja tusubiri tuone.Mm ni YANGA ila msimu huu YANGA hatuna timu
Naona unatafuta basha Yanga, Yanga hakuna wazibuwa mitaro, Waarabu wapo hukohuko ukoloni ndio uwape hiyo kazi.Mm ni YANGA ila msimu huu YANGA hatuna timu
Una akili. Kati ya wale 2 aliosema Manara wewe utakuwa was 3. Yanga msimu huu ni roho mkononi. Eti watu waliangalia mechi ya siku ile moja Tena friendly match waka-conclude kuwa no hatari. Ngoja tusubiri tuone.