Yanga wanaendelea kuchonga droo

Yanga wanaendelea kuchonga droo

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
timu ya yanga naona mafundi wazuri wa kuchonga droo naona droo ya pili bado droo mbili ndio ataanza kufiliria kutengeneza kabati yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nashukuru kwa leo timu zangu zote zimeshinda ugenini

Ndanda FC 0 Simba 2


Aston Villa 0 Livepoor 2
 
Yanga hii haiwezi kuchukua VPL,kama imeshindwa kupata pointi 3 kwa Mtibwa,Simba,Kagera,Azam,Ruvu n.k dalili za kuwa Bingwa mtarajiwa ni kushinda dhidi ya possible title contenders kitu ambacho yanga wameshindwa licha ya matumizi makubwa ya fedha wasizokusanya,Sasa wako bize kuanzisha kesi za dili ambazo hawatashinda ili wapige hela kijanja ambazo Manji atalipa(anaibiwa),Manji take care,Rudisha uongozi kwa wenyewe,Viongozi wasio na hela lakini wanaofanya biddii yanga iwe yanga tunayoijua,ubingwa kila miaka miwili.
 
Back
Top Bottom