bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ukistaajabu ya kule utayaona ya huku, yes Yanga imekua topic mjini na vijijini, walipata kusema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe na ule usio zaa au kuwa na matunda hukatwa kabisa.
Yanga ni mti wenye matunda tena matamu sana watoto wote wa kijijini wamekusanyika kurokota matunda matamu kwenye mti unaoitwa Yanga.
Hii Yanga hii kila sehemu ni Yanga kila kona ni Yanga, sio kwa wanayanga wenyewe, sio kwa Wanasimba tena hawa ndio zaidi, wala sio kwa wanaAzam jina Yanga halikauki midomoni mwao ni Yanga Bingwa, Yanga wana medali 4, Mayele anatakiwa na Kaizer, Pitso Mosimane anakuja Yanga, Ibenge anakuja Yanga, hakika ni habari tamu na nzuri tu hata kama ni tetesi.
Ukiingia Fb kila chanzo cha habari kupata attention lazima waje na mastory ya Yanga hata humu Jf angalia kurasa za michezo 99% ni habari tamu na kuvutia za Yanga.
Sijaona tetesi za Chama au Saido kutakiwa hata na Kitayose au Majimaji njoo kwa Yanga sasa wanatamani hata kuinunua timu nzima ya Yanga hili halikuja vuup kama volcano [emoji291] nop ni nguvu, akili, pamoja na uwekezaji wa nguvu sana chini ya GSM yes [emoji106] wamepiga kazi.
Tunaruhusu kuendelea kuisemea Yanga kwani ndio timu bora kwa sasa timu yenye medali 4 itakua ngumu sana kuacha kuisema timu yenye medali 4 tena moja ya kimataifa na kuanza kuisemea timu iliyotoka kapa bila chochote kitu.