Hakuna ajabu hapo ndg ndio Moira wa tz huo timu ikiwa bingwa inaishia kwenye Makundi pyuuuuHabari za gazeti la leo la Mwananchi kwamba JKT Ruvu kwa Yanga kama uji na mgonjwa!
Wanapitisha mchango klabuni. Wachezaji wamegoma mishahara imedunda. Wacha kupiga mdomo JF nenda kaokoe jahazi au at least kasaidie kupiga magoti mishahara ilipwe.Kama mnyama anavyonunua kwa Ndanda. Au mikia wanashinda kwa uwezo wao?
Mwezi mmoja sio issue. Mikia wanakaa hado2miezi mitatuWanapitisha mchango klabuni. Wachezaji wamegoma mishahara imedunda. Wacha kupiga mdomo JF nenda kaokoe jahazi au at least kasaidie kupiga magoti mishahara ilipwe.
Umewaona wachezaji Simba wakigoma?Leo ndio wachezaji wenu hawajafanya mazoezi kabisa asubuhi. Okoa jahazi kapige magoti kwani itakuwa nini?Mwezi mmoja sio issue. Mikia wanakaa hado2miezi mitatu
Ngojeni mpaka hapo itakapoifunga simba ndiyo mseme hivyoHabari za gazeti la leo la Mwananchi kwamba JKT Ruvu kwa Yanga kama uji na mgonjwa!
Walipeni mishahara kwanza.Ngojeni mpaka hapo itakapoifunga simba ndiyo mseme hivyo
Hizo ni mind games tu. Don't read too much into those petty issues mkuu.Umewaona wachezaji Simba wakigoma?Leo ndio wachezaji wenu hawajafanya mazoezi kabisa asubuhi. Okoa jahazi kapige magoti kwani itakuwa nini?
daah kama hio habari ya kwe mwananchi ndo umeilewa hvyo nna wasiwasi na uelewa wakoHabari za gazeti la leo la Mwananchi kwamba JKT Ruvu kwa Yanga kama uji na mgonjwa!
"Chuji hakulipwa miezi (4)"[emoji23][emoji23]Mwezi mmoja sio issue. Mikia wanakaa hado2miezi mitatu
Wakopaji wazuri sana hao."Chuji hakulipwa miezi (4)"[emoji23][emoji23]
Mavi ya kale. Yapo yanayonuka sasa hivi jangwani.Wakopaji wazuri sana hao.
Vichezaji vya simba vinakaa na mama zao.. Wanacheza kutafuta sifa kama mpira wa shuleniUmewaona wachezaji Simba wakigoma?Leo ndio wachezaji wenu hawajafanya mazoezi kabisa asubuhi. Okoa jahazi kapige magoti kwani itakuwa nini?