Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
wananchi mpooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawana jipya mkuuYanga wameona kupambana ndani ya uwanja kumewashinda wamebaki na propaganda Tu.
Juzi nilisikia msemaji anadai ktk game ya tarehe 4 vyumba vyao vilipuliziwa dawa wakatulia vyumba vya timu b u20. Sasa jiulize ni kawaida kabla ya game za watani uwanja unalindwa sana je simba wamepataje mwanya wa kupulizia dawa. Walinzi walikuwa wapi? Makomandoo wao walikuwa wapi? Ile ilitengenezwa ili kupata sympathy ya mashabiki wao endapo wangefungwa. Ndio maana baada ya game kuwa droo ikawa kimya hadi juzi walipofungwa mfululizo na baada ya kupigwa fine na bodi ya ligi hilo jambo likajitokeza.
Vilevile simba wawe makini sana ktk games zao na wapinzani wengine. Juzi mechi na namungo chumba kimepuliziwa dawa sasa unajiuliza kwa akili ya kawaida namungo ni timu ya karibu na waziri mkuu tena ambaye ni shabiki.wa simba. Simba wanawezaje.kutaka kumhujumu? Hizi mbinu chafu za yanga kutaka kuichafua simba.
Sent using Jamii Forums mobile app