Yanga wanashindana na nani?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni tatizo Zahera alitoboa siri zote. Ni shabiki maandazi pekee ndiye anaeweza kubisha ukweli huu.

Ni juzi tu hapa GSM kawasadia kulipa mishahara na madeni kadhaa ya wachezaji. Ghafla wameanza majigambo yale yale ya miezi 6 iliyopita. Wanajitapa sn wkt fedha za Dante hadi leo wameshindwa kulipa. Kwa sasa Yanga haiwezi kushindana na mtani wake kila hali wala hawawezi kushindana hata na Azam.

Nazani Yanga wanashindana na historia yao wenywe. Wanashindana na Yanga ya Manji iliyokuwa na pesa nyingi bila malengo. Picha za Manji zilizopo ukutani pale jangwani ndizo wanazoshindana nazo na si Simba wala Azam za sasa.

Ukiwa maskini ni bora kuonyesha sura ya unyonge ili wenye nacho wakuonee huruma vinginevyo utakula ujeuri yako.

Matajiri wenye pesa zao wakiona mbwe mbwe za Yanga wanaahirisha kuweka pesa zao.

Time is the right judge tukutane tarehe 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wanawaza taree4 tu baada ya hapo wachezaji wataanza kugombania matikiti maana njaa itakua kali sana
 
Yaani hata ukweli huu bado watu wanaupinga? Kweli sikio la kufa halisikii dawa bora hilo sikio tukalikate kabisa hiyo tarehe 4
 
Kulingia pesa ya mwanaume mwenzio ni u.s.h.o.g.a na u mama, jitafakari
Hamna anae lingie pesa zile nihisa anamiliki tu mfumo wa uendeshaji wa club ya simba sio kama yanga,Tunacho angalia nimafanikio ya club yetu,nyieo komaeni kupeleka bakuri GSM muone kama mtatoboa
 
Yaani hata ukweli huu bado watu wanaupinga? Kweli sikio la kufa halisikii dawa bora hilo sikio tukalikate kabisa hiyo tarehe 4
Tarehe 4,tunawapiga mapema sana sio chini ya goal 3 na baada ya kipigo watajitetea kwa kusema , Team yetu haijapata Muunganiko mzuri

SIMBAAAAAAAAAAA Baba lao
 
Hamna anae lingie pesa zile nihisa anamiliki tu mfumo wa uendeshaji wa club ya simba sio kama yanga,Tunacho angalia nimafanikio ya club yetu,nyieo komaeni kupeleka bakuri GSM muone kama mtatoboa
Kati ya hizo hisa zako ngapi, mimba hiyooo ya gabachori siku si nyingi lazima labour iwahusu....
 
Kinachoendelea simba anachotaka mo ni mbingu na ardhi. Leo simba bado inagombania wachezaji yanga inyayowahitaji. Naami bado simba hawajui wakitakacho
 
Tarehe 4,tunawapiga mapema sana sio chini ya goal 3 na baada ya kipigo watajitetea kwa kusema , Team yetu haijapata Muunganiko mzuri

SIMBAAAAAAAAAAA Baba lao
Hakuna muamala ngoma ngumu
 
Yanga haina wa kushindana naye Tanzania kwa sasa.
Inajaribu kushindana na historical champions katika nchi nyingine.
 
Kwa hiyo pesa za GSM ni za kwenu? Yanga kwa wivu kama mwanamke alieolewa matala kitu apate yeye akipata mwenzake ananuna.Mlipokuwa mnajivuna na pesa za manji zilikuwa zenu?
Halafu mbutembute watu wa ajabu sana wakati wakiidhihaki Simba kuhusu Mo,msemaji wao sijui mhamasishaji Hadija kopa anasema timu wampe GSM huku hawa malaya wengine wanajifanya kuisema Simba.Inataka kwanza ujitoe akili ndio uwe shabiki mzuri wa yanga.
Tukutane tarehe 04.
Sema Yanga haiwezi kushindana na Mo, ni tabia ya kikahaba kuringia pesa za mwanaume mwingine.@Kamgomoli,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…