Yanga wanastahili walichombiwa, ni malipo kwa waliyomfanyia Mwinyi Zahera

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kwa jinsi yule kocha Mwinyi Zahera alivyojitolea kwa Yanga ambayo ilikuwa inaandamwa na ukata mkubwa na Yanga; walichomfanyia, wanastahili matusi ya huyu Mbelgiji

Zahera alikuwa akiikopesha Yanga fedha zake, na saa nyingine kuwalipia Wachezaji vyakula na nauli, japo haikuwa wajibu wake, lakini alitumuliwa kwa matusi.

Alikuwa na kasoro zake lakini at least Yanga wangeweza kuagana naye kiheshima.
 
Yanga ni utopolo.Sema mzungu hajui kiswahili ila angelikubali jina hili haraka sana.

Jana wamemfunga Lipuli wakafurahi sana eti ni tawi la Simba! Nimecheka sana kwa mawazo hayo ya utopolo.
Aliyeipandisha daraja timu ni mwanayanga damu damu.
Kuna viongozi kadhaa wapenzi wa yanga wamewahi kuongoza na timu ya Lipuli.

Sasa yanga wamemshindwa mnyama,wanajigariji kwa kuifunga Lipuli
 
Pamoja na hayo, hakustahili kulinganisha kelele za mashabiki na za wanyama. Ange.deal na viongozi wa Yanga, labda na wa TFF tu, washabiki kupiga kelele ndio kazi yao ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…