Yanga wanatafutiwa ushindi?

Kama kuna mpango wa kuitafutia yanga points kwa mbinde, au ni kweli Lyon walimsajili mchezaji bila kufuata sheria za mpira nchini?

Vyovyote iwavyo, upangaji mzima wa ratiba ya ligi na utaratibu woooote wa uendeshaji wa Ligi ya vodacoma na ligi nyingine hapa nchini Tanzania unalenga kupanga matokeo ambayo TFF wenyewe wanayataka. Ukiambiwa TFF ni Tanzania's Football Fitna usishangae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…