Yanga wanavyohaha kusaka ushindi nje ya uwanja dhidi ya waraabu kwa kutoa damu na kusaidia yatima

Tumia kiswahili fasaha, wamechangia damu.
 
Heeee unataman wangeanzisha simba haya
 
wacha kuwaonea donge wenzio,we km una damu kijiko ya kumtolea mwingine huna tulia usije kutufia bure
 
Ha ha ha ha ha
 
Ukweli mchungu Yanga ana game ngumu kuliko Simba
 
Kila silaha itumike tushinde
 
Nilivyoangalia ID yako tu nikaconclude ulichoandika ni pumba tu
 
Unaumwa wewe si bure.
 
Aliyekuelewa kwa huu uandishi wa kipunguani basi atakuwa alimuelewa Zumaridi kwenye moja na mbili
 
Game ngumu ni simba na horoya, Kila Mmoja anafight afuzu.
Yanga na monastir, monastir kishafuzu ,yanga ndio anapambana afuzu
 
Game ngumu ni simba na horoya, Kila Mmoja anafight afuzu.
Yanga na monastir, monastir kishafuzu ,yanga ndio anapambana afuzu
Monastir anahitaji hii mechi ashinde au apate sare ili aongoze kundi kuepuka kupangiwa na timu ngumu kwenye robo fainali
 
Ulichoandika hapa ni 🚮 kwa 💯%
 
Unatumia hisia kuliko uhalisia katika chapisho lako kwasababu huu ni mwaka wa pili sasa Yanga wamekua na huo utaratibu kabla ya mechi zao.
 
mbona kutoa misaada kwa wahitaji wameanza siku nyingi sana!kabla hata hawajafuzu makundi even kabla hata ya msimu huu!!
 
Ndugu mleta mada huu ni utaratibu wa Yanga tangu msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…