Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya sasa wakangoe zege la kukalia zenji.safi kabisa, zenji wale wanaotoa viti ni bakora tu.
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni
Wakachezee uwanja wao pale Jangwani.
Jamhuri MorogoroHahaha simba nao wap
So Yanga nikama vile wameonewaWakachezee uwanja wao pale Jangwani.
Ingwaje kwa kiasi kikubwa Yanga hawakuhusika na uharibifu wa U wa Taifa, kitendo cha uharibifu kimekera sana watu.
Katika ustaarabu Yanga na Simba haamo.
Italia timu yenye kiwanja chake ni juve tu.... Usimshangae Yanga wala Simba kutokuwa na viwanjaHizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?