fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Yanga ni timu yangu, lakini kwa sasa wapo desparate, wanaajiri makocha desparately, wanafukuza desparately na watafungwa na simba kwa huo udesparate wao. Nawanasihi watulie wafanye mipango yao kwa utulivu na kwa kuzingatia factors mbalimbali sio kuifunga simba tu.