fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kwa kijiamini kabisaa!!!!!Yanga hawezi kufungwa na Simba msimu huu, mwakajana Simba walipata point Moja, mwaka huu Simba hapati ata point mmoja. Mwaka huu Yanga ndie bingwa ni swala la muda tu.
Yanga hawezi kufungwa na Simba msimu huu, mwakajana Simba walipata point Moja, mwaka huu Simba hapati hata point mmoja. Mwaka huu Yanga ndie bingwa ni swala la muda tu.
Nne chache sana mbona, tunawapiga wiki kama Liver walivyokung'utwa na ndiyo akili zitawakaa sawa wajue kuwa hawajui.Ngoja watapigwa 4-0 hiyo tarehe 28 alafu bundi akiamka watajiweka sawa.watapata akili.
Mpira mmejifunzia wap nyie mikia? Kocha hata aje leo hawez kua incharge wa game ijayoKocha mpya wa yanga namuhurumia sana..
Maana ikitokea bahati mbaya mechi na simba yanga ikafungwa nyingi lazima na yeye atatimuliwa..
Msolla anapenda kuepuka lawama kwa kutimua kocha fasta
Mkuu comment yako imenivunja mbavu sana dah jf bwana burudani kwa woteKupata vichekesho hivi tubonyeze ngapi?
Msimu uliopita head to head Simba na Yanga (mechi 3)Yanga hawezi kufungwa na Simba msimu huu, mwakajana Simba walipata point Moja, mwaka huu Simba hapati ata point mmoja. Mwaka huu Yanga ndie bingwa ni swala la muda tu.
Makocha wote wanaomba kujiunga na timu baada ya dabi ya simba na yangaKocha mpya wa yanga namuhurumia sana..
Maana ikitokea bahati mbaya mechi na simba yanga ikafungwa nyingi lazima na yeye atatimuliwa..
Msolla anapenda kuepuka lawama kwa kutimua kocha fasta
Huamini?Kupata vichekesho hivi tubonyeze ngapi?
Pumbaf sana!...ulikosa tafsiri ya kiswahili ya neno desparate..paka mweusi we!Yanga ni timu yangu, lakini kwa sasa wapo desparate, wanaajiri makocha desparately, wanafukuza desparately na watafungwa na simba kwa huo udesparate wao. Nawanasihi watulie wafanye mipango yao kwa utulivu na kwa kuzingatia factors mbalimbali sio kuifunga simba tu.
Tarehe 28? Wamesogeza mbele mchezo kumbe?Ngoja watapigwa 4-0 hiyo tarehe 28 alafu bundi akiamka watajiweka sawa.watapata akili.
Mbona wewe hutulii?!?! Unaropoka ropoka tu....tulia basi 'mwanayanga' mwenzangu....Yanga ni timu yangu, lakini kwa sasa wapo desparate, wanaajiri makocha desparately, wanafukuza desparately na watafungwa na simba kwa huo udesparate wao. Nawanasihi watulie wafanye mipango yao kwa utulivu na kwa kuzingatia factors mbalimbali sio kuifunga simba tu.
Papara au hararaHapo kwenye Desperately na udesperate ndio ungefafanua sasa.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Yanga hawezi kufungwa na Simba msimu huu, mwakajana Simba walipata point Moja, mwaka huu Simba hapati ata point mmoja. Mwaka huu Yanga ndie bingwa ni swala la muda tu.