Yanga watachukuwa kombe la Afrika msimu wa 2021-2022

Zozotoli

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
22
Reaction score
53
Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022

Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia sitaki watu wa kuanza kutuma maombi yao eti niwafanyie dawa mimi sio mganga au uchawi bali nina amini katika maombi yangu binafsi na yanga sio timu yangu pendwa bali nimewachagua wao tu
 
Andikeni tariki izi na nina waomba nyote mrudi apa mwisho wa asimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia sitaki watu wa kuanza kutuma maombi yao eti ni wafanyie dawa mimi sio mganga au uchawi bali nina amini katika maombi yangu binafsi na yanga sio timu yangu pendwa bali nime wachaguwa wao tu
Jina lako lenyewe Pumbavu,

Mtu ategemee uandike cha maana?

Yanga? Bado sana.
 
delaaaa.jpeg
 
Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022

Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia sitaki watu wa kuanza kutuma maombi yao eti niwafanyie dawa mimi sio mganga au uchawi bali nina amini katika maombi yangu binafsi na yanga sio timu yangu pendwa bali nimewachagua wao tu
Mashabiki wa Yanga wengi wenu hamna akili
 
Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022

Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia sitaki watu wa kuanza kutuma maombi yao eti niwafanyie dawa mimi sio mganga au uchawi bali nina amini katika maombi yangu binafsi na yanga sio timu yangu pendwa bali nimewachagua wao tu
Litimu la hovyo kuwahi kutokea duniani

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom