Yanga watafanya vizuri kimataifa kuliko Simba msimu ujao

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.

1. Uongozi mpya
Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na hilo analiweza.Pili yeye ndie mwenye màamuzi kwa vile ni kiongozi, mipango yote ya ushindi ndani na nje ya uwanja anajua kuipanga.

2. Wachezaji wa ushindani
Kuna ujanja mkubwa umefanyika wa kumpeleka Morrison yanga, sio kuwa Morrison hana nidhamu isipokuaa umetengenezwa mkakati wa kumrudisha yanga kwa kudai hana nidhamu, yale mapumziko ya Morrison ilikuwa kutuandaa tu kisaikolojia, viongozi wa timu hizi wanajuana sana, wanakaa pamoja huku sisi tunagombana, mfano ni suala la Kenneth Mkapa na Mohamed Mwameja miaka ile kwa wanaokumbuka.

3. Yanga ina watu wa mipango kuliko Simba
Huyu Hersi amezungukwa na vijana wengi wanaojua ushirikina wa soka la bongo, sijui kama Simba itamfunga yanga kwenye uongozi wake, yeye mwenyewe anafikika kwa urahisi, ameshazijua siasa za soka la bongo, ameshajua namna ya kuikabili Simba, wala hana presha, Simba akijitahidi atakuwa akipata sare.Wengi wanamsapoti Hersi nje ya uwanja.Simba ubinafsi umejaa sana.

4. Wazee Simba kutopewa heshima kuliko Yanga
Wazee wa Simba wanalalamika hawathaminiwi, wale yanga wanashirikishwa mpaka kwenye kutafuta ushindi nje ya uwanja.

5. Yanga wana uchungu sana na timu yao kuliko Simba
Wenzetu Yanga wana uchungu, wanashirikiana na kupeana mikakati, gemu ya kirumba makomandoo wao wamehaha mwanza nzima kutafuta ushindi, sisi Simba tumeridhika.Yanga hawapendi kufungwa na Simba, sisi tunapenda kufungwa na yanga halafu tunajidanganya eti tushatoka huko.Yanga wanapocheza na Simba wanamaliza kila kitu.

6. Kuna usaliti sana Simba kuliko Yanga
Yanga hata kama hawafurahishwi na mambo ndani ya uongozi, huwasikii kupinga hovyo hovyo, ni nadra kwa mtu wa yanga aliye ndani ya kamati ya ufundi kuuza ishu kwa uongozi wa Simba, sisi Simba tumekos ubingwa msimu huu wala sio kwa sababu ya majeruhi wala nn, wapo watu kwa maslahi yao binafsi hawamtaki Ceo ili mambo yao yanyooke, wanaona maisha yao hayaendi akiendelea kuongoza Simba.Ishu nyingi za Simba zinavuja kwa Zungu Pori ndio maana Hersi amemng'ang'ania Zungu pori.

7. Mwenyekiti wetu sio mtu wa mpira
Mwenyekiti wetu pia sio mtu wa mpira, hata anapoongea unaona kabisa hamna mipango humu, yupo yupo tu.

Tusipoziba ufa tutajenga ukuta, Time will tell.
 
TUWEKE SAWA HII [emoji3578][emoji3578]

Kambole. -- Huyu ametemwa na Kaizer Chiefs n miongon mwa wachezaj 14 waliotemwa msimu huu Goal zake Mbili znajulikana kwenye mechi karbia 46

Morrison:- Huyu hakuwa kwenye mipango ya simba ametemwa mambo yake yanaeleweka anaweza Asifunge huku simba kwenye ligi hajatufungia hata goal 5 proffesional player kwenye misimu miwili kwenye ligi hana hata goal 10[emoji38] amekalia vituko tu Inaeleweka[emoji1621]

Bigirimana:- Amesajiliwa amekaa miaka Miwili hana team alikuwa anauza uza tu huko Bia[emoji38]

Joyce Lomalisa:- Alikuwa anacheza Angola huko ametemwa na hyo team nae alikuwa anazurura tu huko Congo kina Mayele wamempigia Kampen aungane nao[emoji38][emoji38]

Ki ufupi mpka sasahvi Yanga hawajasajili mchezaj hata mmoja aliyekuwa anagombaniwa na klabu yyote Afrika au Huko kwao...

Wamechukua wachezaj wao ambao wako wapweke[emoji23][emoji23]

Sasa tulinganishe kweli na

Moses phiri amekuwa mshambliaj bora Zambia msimu wa mwaka Jana na mwaka huu mshambliaj bora namba mbili

Kyombo Amemalza na goal 6 na assist 1 kwenye mechi 12 takwimu bora kuliko hata Morrison

Kapama Kiungo na kiraka bora sana ametoka kwenye team akiwa na uwezo mzuri kabisa

Akpan Kiungo mkabaji lakin kwenye ligi amemaliza na Assist 3 na goals 2 takwimu bora kuliko Bigirimana na huyo Kambole

[emoji38]

Tulien muone msimu ukianza
 
kamateni mwingine huyu anazurula huku pelekeni milembe
 
TUWEKE SAWA HII [emoji3578][emoji3578]

Kambole. -- Huyu ametemwa na Kaizer Chiefs n miongon mwa wachezaj 14 waliotemwa msimu huu Goal zake Mbili znajulikana kwenye mechi karbia 46...
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana

Na wewe huwezi kuwa Simba maana Simba hatuna shabiki maandazi Kama wewe iko hivi mkuu furaha ya timu ndogo huwa ni kuifunga timu kubwa hata Kama isipochukua kombe.

Kuna kipindi El classico alikuwa anashinda Barcelona tu kila wakikutana Barcelona Na Madrid lkn Madrid alikuwa anachukua UEFA Hadi Mara tatu Barcelona anatolewa Na Juventus hasira zote anaenda kumalizia kwa Madrid lkn Madrid yeye anaenda finally anachukua kikombe mbele ya Juventus.
Hivyo Madrid yeye hakufocus kumfunga Barcelona yeye alifocus kwenye malengo.

Njoo huku kwa Simba Na yanga tukianza kwenye ligi kuu hakuna aliyemfunga mwenzake Na hapo hapo kwenye ligi kuu hakuna timu iliyokusanya points nyingi kwenye uwanja Wake wa nyumbani Kama Simba akiwa amechukua points 41/45 hapo kaacha points 4 tu Simba ilifeli viwanja vya mikoani mbeya kaacha points 6 zote kagera kaacha points 3 manungu points 2 Na kadhalika hivyo imekuja Na mpango mkakati wa kukusanya points pande zote home and away Na akina kyombo kapama ni suluhisho la Hilo.

Game ya FA kumbuka Simba ilikuwa Haina wachezaji Wake karibia sita au Saba wanaoanza kwenye first eleven yake halaf unaenda kucheza mechi kubwa Kama Ile Mimi nilitegemea tungeweza kufungwa goli hata Zaid ya mbili SEMA tu kwa kuwa yanga ni dhaifu ndo maana ilishinda moja tu

Na unaposema kuwa yanga msimu huu itafanya vizur kimataifa huo ni uongo huwezi kufanya vizur kwa kuchukua wachezaji ambao walikuwa hawana timu kwa maana hyo ni wa kawaida Sana unazungumzia Morrison Yes Morrison ni mchezaji mwenye kipaji Na pia Ana uwezo Hilo lazima tumheshimu lkn mchezaji anaeamua mechi hii nicheze vizur mechi hii ni haribu wa Nini? Pia anaweza akauza mechi muda wowote wa kazi gani mkuu
 
TUWEKE SAWA HII [emoji3578][emoji3578]

Kambole. -- Huyu ametemwa na Kaizer Chiefs n miongon mwa wachezaj 14 waliotemwa msimu huu Goal zake Mbili znajulikana kwenye mechi karbia 46

Morrison:- Huyu hakuwa kwenye mipango ya simba ametemwa mambo yake yanaeleweka anaweza Asifunge huku simba kwenye ligi hajatufungia hata goal 5 proffesional player kwenye misimu miwili kwenye ligi hana hata goal 10[emoji38] amekalia vituko tu Inaeleweka[emoji1621]

Bigirimana:- Amesajiliwa amekaa miaka Miwili hana team alikuwa anauza uza tu huko Bia[emoji38]

Joyce Lomalisa:- Alikuwa anacheza Angola huko ametemwa na hyo team nae alikuwa anazurura tu huko Congo kina Mayele wamempigia Kampen aungane nao[emoji38][emoji38]

Ki ufupi mpka sasahvi Yanga hawajasajili mchezaj hata mmoja aliyekuwa anagombaniwa na klabu yyote Afrika au Huko kwao...

Wamechukua wachezaj wao ambao wako wapweke[emoji23][emoji23]

Sasa tulinganishe kweli na

Moses phiri amekuwa mshambliaj bora Zambia msimu wa mwaka Jana na mwaka huu mshambliaj bora namba mbili

Kyombo Amemalza na goal 6 na assist 1 kwenye mechi 12 takwimu bora kuliko hata Morrison

Kapama Kiungo na kiraka bora sana ametoka kwenye team akiwa na uwezo mzuri kabisa

Akpan Kiungo mkabaji lakin kwenye ligi amemaliza na Assist 3 na goals 2 takwimu bora kuliko Bigirimana na huyo Kambole

[emoji38]

Tulien muone msimu ukianza
Mashabiki wa Simba mnaeneza uongo dhidi ya Morrison kuwa hakuwa na msaada kwenu. Yanga hawakumchukua Morrison kwaajili ya ligi bali kwaajili ya michuano ya kimataifa. Sasa huyu Morrison kipindi cha msimu wa 2021/2022 si ndiye alikuwa roho ya Simba kwenye michuano ya kimataifa.
Kahusika katika mechi zote mbili dhidi ya Galaxy
Ushindi mnono kwa Mkapa dhidi ya Red arrows kahusika yeye.
Ushindi dhidi berkane, na Mimosa kahusika yeye.
Kule Niger ni yeye ndiye aliyeifanya Simba ipate alama moja.
 
Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.

1. Uongozi mpya
Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na hilo analiweza.Pili yeye ndie mwenye màamuzi kwa vile ni kiongozi, mipango yote ya ushindi ndani na nje ya uwanja anajua kuipanga.

2. Wachezaji wa ushindani
Kuna ujanja mkubwa umefanyika wa kumpeleka Morrison yanga, sio kuwa Morrison hana nidhamu isipokuaa umetengenezwa mkakati wa kumrudisha yanga kwa kudai hana nidhamu, yale mapumziko ya Morrison ilikuwa kutuandaa tu kisaikolojia, viongozi wa timu hizi wanajuana sana, wanakaa pamoja huku sisi tunagombana, mfano ni suala la Kenneth Mkapa na Mohamed Mwameja miaka ile kwa wanaokumbuka.

3. Yanga ina watu wa mipango kuliko Simba
Huyu Hersi amezungukwa na vijana wengi wanaojua ushirikina wa soka la bongo, sijui kama Simba itamfunga yanga kwenye uongozi wake, yeye mwenyewe anafikika kwa urahisi, ameshazijua siasa za soka la bongo, ameshajua namna ya kuikabili Simba, wala hana presha, Simba akijitahidi atakuwa akipata sare.Wengi wanamsapoti Hersi nje ya uwanja.Simba ubinafsi umejaa sana.

4. Wazee Simba kutopewa heshima kuliko Yanga
Wazee wa Simba wanalalamika hawathaminiwi, wale yanga wanashirikishwa mpaka kwenye kutafuta ushindi nje ya uwanja.

5. Yanga wana uchungu sana na timu yao kuliko Simba
Wenzetu Yanga wana uchungu, wanashirikiana na kupeana mikakati, gemu ya kirumba makomandoo wao wamehaha mwanza nzima kutafuta ushindi, sisi Simba tumeridhika.Yanga hawapendi kufungwa na Simba, sisi tunapenda kufungwa na yanga halafu tunajidanganya eti tushatoka huko.Yanga wanapocheza na Simba wanamaliza kila kitu.

6. Kuna usaliti sana Simba kuliko Yanga
Yanga hata kama hawafurahishwi na mambo ndani ya uongozi, huwasikii kupinga hovyo hovyo, ni nadra kwa mtu wa yanga aliye ndani ya kamati ya ufundi kuuza ishu kwa uongozi wa Simba, sisi Simba tumekos ubingwa msimu huu wala sio kwa sababu ya majeruhi wala nn, wapo watu kwa maslahi yao binafsi hawamtaki Ceo ili mambo yao yanyooke, wanaona maisha yao hayaendi akiendelea kuongoza Simba.Ishu nyingi za Simba zinavuja kwa Zungu Pori ndio maana Hersi amemng'ang'ania Zungu pori.

7. Mwenyekiti wetu sio mtu wa mpira
Mwenyekiti wetu pia sio mtu wa mpira, hata anapoongea unaona kabisa hamna mipango humu, yupo yupo tu.

Tusipoziba ufa tutajenga ukuta, Time will tell.
Nyani hata avae suti atabaki kuwa nyani tu. Luc Eymael alikuwa sahihi kuwaita nyie nyani
IMG-20191111-WA0001.jpg
 
Muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri mno.

Tusibirie tuone, pili hongera kwa uchambuzi mzuri
 
Nimesoma sababu yako ya kwanza njkaishia hapo hapo.

Unaamdika Yanga watafanya vizuri kimataifa kwasababu wana Hersi, kwani mwaka jana walivyotolewa kizembe huyo Hersi hakuwepo?

Hata kama Hersi last year hakuwa kiongozi Yanga SC, lakini kwa uzito aliokuwa nao alikuwa na uwezo wa kufanya lolote na Msolla alibaki kama kiongozi "ceremonial" tu.

Anyway, nakuona nyani kwenye ubora wako.
 
Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.

1. Uongozi mpya
Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na hilo analiweza.Pili yeye ndie mwenye màamuzi kwa vile ni kiongozi, mipango yote ya ushindi ndani na nje ya uwanja anajua kuipanga.

2. Wachezaji wa ushindani
Kuna ujanja mkubwa umefanyika wa kumpeleka Morrison yanga, sio kuwa Morrison hana nidhamu isipokuaa umetengenezwa mkakati wa kumrudisha yanga kwa kudai hana nidhamu, yale mapumziko ya Morrison ilikuwa kutuandaa tu kisaikolojia, viongozi wa timu hizi wanajuana sana, wanakaa pamoja huku sisi tunagombana, mfano ni suala la Kenneth Mkapa na Mohamed Mwameja miaka ile kwa wanaokumbuka.

3. Yanga ina watu wa mipango kuliko Simba
Huyu Hersi amezungukwa na vijana wengi wanaojua ushirikina wa soka la bongo, sijui kama Simba itamfunga yanga kwenye uongozi wake, yeye mwenyewe anafikika kwa urahisi, ameshazijua siasa za soka la bongo, ameshajua namna ya kuikabili Simba, wala hana presha, Simba akijitahidi atakuwa akipata sare.Wengi wanamsapoti Hersi nje ya uwanja.Simba ubinafsi umejaa sana.

4. Wazee Simba kutopewa heshima kuliko Yanga
Wazee wa Simba wanalalamika hawathaminiwi, wale yanga wanashirikishwa mpaka kwenye kutafuta ushindi nje ya uwanja.

5. Yanga wana uchungu sana na timu yao kuliko Simba
Wenzetu Yanga wana uchungu, wanashirikiana na kupeana mikakati, gemu ya kirumba makomandoo wao wamehaha mwanza nzima kutafuta ushindi, sisi Simba tumeridhika.Yanga hawapendi kufungwa na Simba, sisi tunapenda kufungwa na yanga halafu tunajidanganya eti tushatoka huko.Yanga wanapocheza na Simba wanamaliza kila kitu.

6. Kuna usaliti sana Simba kuliko Yanga
Yanga hata kama hawafurahishwi na mambo ndani ya uongozi, huwasikii kupinga hovyo hovyo, ni nadra kwa mtu wa yanga aliye ndani ya kamati ya ufundi kuuza ishu kwa uongozi wa Simba, sisi Simba tumekos ubingwa msimu huu wala sio kwa sababu ya majeruhi wala nn, wapo watu kwa maslahi yao binafsi hawamtaki Ceo ili mambo yao yanyooke, wanaona maisha yao hayaendi akiendelea kuongoza Simba.Ishu nyingi za Simba zinavuja kwa Zungu Pori ndio maana Hersi amemng'ang'ania Zungu pori.

7. Mwenyekiti wetu sio mtu wa mpira
Mwenyekiti wetu pia sio mtu wa mpira, hata anapoongea unaona kabisa hamna mipango humu, yupo yupo tu.

Tusipoziba ufa tutajenga ukuta, Time will tell.
wait and see..uto si wachambuzi wa michongo wako wanawavimbisha vichwa
FXh-7yfXgAIUTBG.jpeg
 
TUWEKE SAWA HII [emoji3578][emoji3578]

Kambole. -- Huyu ametemwa na Kaizer Chiefs n miongon mwa wachezaj 14 waliotemwa msimu huu Goal zake Mbili znajulikana kwenye mechi karbia 46

Morrison:- Huyu hakuwa kwenye mipango ya simba ametemwa mambo yake yanaeleweka anaweza Asifunge huku simba kwenye ligi hajatufungia hata goal 5 proffesional player kwenye misimu miwili kwenye ligi hana hata goal 10[emoji38] amekalia vituko tu Inaeleweka[emoji1621]

Bigirimana:- Amesajiliwa amekaa miaka Miwili hana team alikuwa anauza uza tu huko Bia[emoji38]

Joyce Lomalisa:- Alikuwa anacheza Angola huko ametemwa na hyo team nae alikuwa anazurura tu huko Congo kina Mayele wamempigia Kampen aungane nao[emoji38][emoji38]

Ki ufupi mpka sasahvi Yanga hawajasajili mchezaj hata mmoja aliyekuwa anagombaniwa na klabu yyote Afrika au Huko kwao...

Wamechukua wachezaj wao ambao wako wapweke[emoji23][emoji23]

Sasa tulinganishe kweli na

Moses phiri amekuwa mshambliaj bora Zambia msimu wa mwaka Jana na mwaka huu mshambliaj bora namba mbili

Kyombo Amemalza na goal 6 na assist 1 kwenye mechi 12 takwimu bora kuliko hata Morrison

Kapama Kiungo na kiraka bora sana ametoka kwenye team akiwa na uwezo mzuri kabisa

Akpan Kiungo mkabaji lakin kwenye ligi amemaliza na Assist 3 na goals 2 takwimu bora kuliko Bigirimana na huyo Kambole

[emoji38]

Tulien muone msimu ukianza
Mpira wa Africa ni ndani na nje ya uwanja, Simba inaweza kuwa na kikosi bora isifanye vzr kwa sababu za nje ya uwanja, kadharika yanga na timu zingine ndani na nje ya nchi...mtoa mada ameeleza mengi ya nje ya uwanja kuwa yanga iko vzr kuliko Simba, nafikiri Simba tuyachukue na kuyafanyia kazi, mambo ya migogoro ndani ya klabu sio mazuri, timu inakosa umoja na inasambaratika, mashabiki pia wanagawanyika, iliwahi kuwa hivyo kwa yanga pia ikawacost japo tulikua tukiwambia wanakataa.
 
Back
Top Bottom