Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wapo makundi ya CAf tayari....Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.
1. Uongozi mpya
Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na hilo analiweza.Pili yeye ndie mwenye màamuzi kwa vile ni kiongozi, mipango yote ya ushindi ndani na nje ya uwanja anajua kuipanga.
2. Wachezaji wa ushindani
Kuna ujanja mkubwa umefanyika wa kumpeleka Morrison yanga, sio kuwa Morrison hana nidhamu isipokuaa umetengenezwa mkakati wa kumrudisha yanga kwa kudai hana nidhamu, yale mapumziko ya Morrison ilikuwa kutuandaa tu kisaikolojia, viongozi wa timu hizi wanajuana sana, wanakaa pamoja huku sisi tunagombana, mfano ni suala la Kenneth Mkapa na Mohamed Mwameja miaka ile kwa wanaokumbuka.
3. Yanga ina watu wa mipango kuliko Simba
Huyu Hersi amezungukwa na vijana wengi wanaojua ushirikina wa soka la bongo, sijui kama Simba itamfunga yanga kwenye uongozi wake, yeye mwenyewe anafikika kwa urahisi, ameshazijua siasa za soka la bongo, ameshajua namna ya kuikabili Simba, wala hana presha, Simba akijitahidi atakuwa akipata sare.Wengi wanamsapoti Hersi nje ya uwanja.Simba ubinafsi umejaa sana.
4. Wazee Simba kutopewa heshima kuliko Yanga
Wazee wa Simba wanalalamika hawathaminiwi, wale yanga wanashirikishwa mpaka kwenye kutafuta ushindi nje ya uwanja.
5. Yanga wana uchungu sana na timu yao kuliko Simba
Wenzetu Yanga wana uchungu, wanashirikiana na kupeana mikakati, gemu ya kirumba makomandoo wao wamehaha mwanza nzima kutafuta ushindi, sisi Simba tumeridhika.Yanga hawapendi kufungwa na Simba, sisi tunapenda kufungwa na yanga halafu tunajidanganya eti tushatoka huko.Yanga wanapocheza na Simba wanamaliza kila kitu.
6. Kuna usaliti sana Simba kuliko Yanga
Yanga hata kama hawafurahishwi na mambo ndani ya uongozi, huwasikii kupinga hovyo hovyo, ni nadra kwa mtu wa yanga aliye ndani ya kamati ya ufundi kuuza ishu kwa uongozi wa Simba, sisi Simba tumekos ubingwa msimu huu wala sio kwa sababu ya majeruhi wala nn, wapo watu kwa maslahi yao binafsi hawamtaki Ceo ili mambo yao yanyooke, wanaona maisha yao hayaendi akiendelea kuongoza Simba.Ishu nyingi za Simba zinavuja kwa Zungu Pori ndio maana Hersi amemng'ang'ania Zungu pori.
7. Mwenyekiti wetu sio mtu wa mpira
Mwenyekiti wetu pia sio mtu wa mpira, hata anapoongea unaona kabisa hamna mipango humu, yupo yupo tu.
Tusipoziba ufa tutajenga ukuta, Time will tell.
Bongo bana kila mtu mtabiriiiiii😂😂😂😂Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.

Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.

Katorokea maporini hadi tusahau.Hebu rudia tena hii habari yako
Haya wala mihogo wa Hersi leteni habari mpyaSubiri mbumbumbu wa Rage waje..........
Tuseme inshallah...........Haya wala mihogo wa Hersi leteni habari mpya
Daima mbele nyuma mwikoRudia ulichoandika
kasepa,dah,,,[emoji23][emoji28]Mleta uzi KAUTELEKEZA UZI WAKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kala mihogo mikavu imemkwama anatweta kama churaMleta uzi KAUTELEKEZA UZI WAKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]