Yanga watafute cb wa maana

Yanga watafute cb wa maana

Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Mbona goli lile tatizo ni kibwana kachukuliwa mpira mbele yake ?? Au mwamnyeto ana damu mbaya

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Goli zote 3 zimetokea upande wa kulia, japo mwamnyeto leo alikuwa upande wa wakuna nazi wenzake wa tanga
 
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm zote 3 zimetokea upande wa

Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Goli zote 3 zimetokea upande wa ku
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Goli zote 3 zimetokea upande wa kulia kwa juma shaban, alikuwa anaacha gape kubwa pale nyuma nafikiri mfumo wa 3:5:2 uliwashinda na coast waking'amua iyo nafasi wakaitumia, but ndo mpira na Iyo ilikuwa fainali akuna aliyekuwa amekwenda uwanjani kuwa msindikizaji, beki wa kati atasajiliwa na beki ya kushoto pia itaimarishwa
 
Hakika,utopolo wameonesha udhaifu mkubwa sana
Kiufupi , hapo hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa labda ufanyike usajili wa Maana.

Tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa muda si mrefu wa timu kupigwa nje ndani na kuondolea hatua ya awali.
 
Pole mzee kuna wakati unahitajika kuwa mvumilivu kuliko kuota wenzio kushindwa. Kuna timu imeshinda timu hizo kubwa lkn wametoa droo na timu ya mkiani
 
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Hivi Leo kuna goli kasababisha Mwamnyeto kweli au TV yangu mbovu?
La 1 - Dickson Job
La 2 - Djuma Shaban
La 3 - Kibwana Shomari.
La 4 - Diarra.
 
Ndugu zangu mpira hauchambuliwi kama mnavyo chambua mchele kwenye ungo.

Na ubora wa mchezaji haupimwi kwa uwezo au udhaifu wa mechi moja. Ukitaka kuchambua ubora na udhaifu wa beki za yanga, basi anzia mwanzo mwa msimu mpaka mechi ya leo. Tofauti na hapo utakuwa mpiga ramli.

Nyie ndo mkiwekwa kwenye kamati za usajili mnaanza kusajili wachezaji kwa kuangalia clips za YouTube badala ya kufanya deep scouting.
 
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Bakari Nondo sio beki wa kwenda nae kimataifa. Beki hana footwork nzuri, beki hajiamini, beki mrefu lakini hajui kuruka mipira ya juu...overhyped
 
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Kwanza kabisa, Nikweli Mwamunyeto leo hakuwa na mchezo mzuri na hiyo kwenye soka nikawaida kutokea ndo maana unaona hadi kina Ronaldo kuna mechi wanaflop wanacheza kama kina Nchimbi na wanafanyiwa sub.

Sema kitu kinacho onesha kuwa hujui kuchambua mpira au hujaangalia mpira nikumlaumu mwamnyeto ambae hakuna hata goli moja lililopatikana kutokana na makosa yake.

Goli la kwanza: Uzembe wa D.Job
Goli la pili: Uzembe wa D. Shaban
Goli la tatu: Uzembe wa kibwana.

Goli la kwanza na la pili yote yametokana na mipira ya cross kutoka upande wa full beck ya kushoto, na goli la kwanza limetokana na projected ball inform of counter attack katikati mwa uwanja.

Sasa ndugu mchambuzi, hebu niambie Mwamunyeto alivohusika juu ya hayo magoli hadi umtupie gunia la lawama mwenyewe
 
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana

Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu

N ushauri tu nionavyo mm
Ushauri wako Ni murua kabisa, leo Mwamnyeto ameonyesha udhaifu mkubwa Sana, nadhani makocha Wana macho, hii mechi imetuonyesha kila kitu. Pia tunahitaji No.3 asilia
 
Back
Top Bottom