Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mbona goli lile tatizo ni kibwana kachukuliwa mpira mbele yake ?? Au mwamnyeto ana damu mbayaKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Inachekesha sana...Mwamnyeto ni beki nzuri shida amekutana na sabuni🤣
Siizungumzii mechi ya leo nazungumzia tangu ligi ianzeGoli zote 3 zimetokea upande wa kulia, japo mwamnyeto leo alikuwa upande wa wakuna nazi wenzake wa tanga
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm zote 3 zimetokea upande wa
Goli zote 3 zimetokea upande wa kuKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Goli zote 3 zimetokea upande wa kulia kwa juma shaban, alikuwa anaacha gape kubwa pale nyuma nafikiri mfumo wa 3:5:2 uliwashinda na coast waking'amua iyo nafasi wakaitumia, but ndo mpira na Iyo ilikuwa fainali akuna aliyekuwa amekwenda uwanjani kuwa msindikizaji, beki wa kati atasajiliwa na beki ya kushoto pia itaimarishwaKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Kiufupi , hapo hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa labda ufanyike usajili wa Maana.
Tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa muda si mrefu wa timu kupigwa nje ndani na kuondolea hatua ya awali.
Pole mzee kuna wakati unahitajika kuwa mvumilivu kuliko kuota wenzio kushindwa. Kuna timu imeshinda timu hizo kubwa lkn wametoa droo na timu ya mkianiKiufupi , hapo hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa labda ufanyike usajili wa Maana.
Tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa muda si mrefu wa timu kupigwa nje ndani na kuondolea hatua ya awali.
Hivi Leo kuna goli kasababisha Mwamnyeto kweli au TV yangu mbovu?Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Bakari Nondo sio beki wa kwenda nae kimataifa. Beki hana footwork nzuri, beki hajiamini, beki mrefu lakini hajui kuruka mipira ya juu...overhypedKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Kwanza kabisa, Nikweli Mwamunyeto leo hakuwa na mchezo mzuri na hiyo kwenye soka nikawaida kutokea ndo maana unaona hadi kina Ronaldo kuna mechi wanaflop wanacheza kama kina Nchimbi na wanafanyiwa sub.Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Ushauri wako Ni murua kabisa, leo Mwamnyeto ameonyesha udhaifu mkubwa Sana, nadhani makocha Wana macho, hii mechi imetuonyesha kila kitu. Pia tunahitaji No.3 asiliaKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Coastal wanamjua vizuri saana hivyo walimroga saana hadi kivuli chake walirogaKama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Ameharibu mechi ngapi? Amecheza vizuri mechi ngapi? Usimhukumu mchezaji kwa mechi mojaBakari Nondo sio beki wa kwenda nae kimataifa. Beki hana footwork nzuri, beki hajiamini, beki mrefu lakini hajui kuruka mipira ya juu...overhyped