Yanga watawatoa Al Hilal

Yanga watawatoa Al Hilal

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Sababu ni hizi

Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
 
Huu ni ukweli mtupu yanga watawatowa al hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini
Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0

Na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa
Kutafuta matokeo

Ungejifunza lugha kwanza kabla ya kuwa nabii
 
Mungu ibariki Yanga. Tumefanya usajili mzuri kwa kiasi chake. Tumeshathibitisha ubora wetu kwenye ligi ya ndani! Sasa ni wakati wa kuthibitisha ubora wetu Kimataifa.

Tumeanza na Zalan! Na wengine watafuatia.
 
Kwa hiyo unakubaliana na mchambuzi wetu kuwa mechi ya kwanza nyumbani itaisha 0-0 na ya pili ugenini itaisha 1-1 ?
 
Huu ni ukweli mtupu yanga watawatowa al hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini
Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0

Na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Sababu ni hizi

Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa
Kutafuta matokeo
Timu za Sudan Al Hilal na El Merreikh huwa ni dhaifu sana nje ya Sudan ila ni hatari sana ndani ya Sudan.

Inawezekana kabisa Yanga kuwafunga hapa Tanzania ila Yanga hawezi kupata sare Sudan kwa sababu ya udhaifu ya ukuta wake.

Al Hilal wanakikosi imara sana kulinganisha na Yanga hivyo Yanga wakijilipua hapa Dar wanaweza kushinda ila Sudan ni ngumu sana kupata matokeo.

Zile timu ni hatari sana zinapokuwa kwenye viwanja vyao vya nyumbani
 
Sio kwamba hazifungiki
Zinafungika ni swala la kujiandaa tu.

Al hilal / na kocha ibenge kwa ujumla ukiangalia uchezaji wao huwa wanasumbuliwa sana na timu zinazomiliki mpira.
 
Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Sababu ni hizi

Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
Yanga watamanuliwa mapema tu tena kwa ile ile staili yao pendwa ya nje ndani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba hazifungiki
Zinafungika ni swala la kujiandaa tu.

Al hilal / na kocha ibenge kwa ujumla ukiangalia uchezaji wao huwa wanasumbuliwa sana na timu zinazomiliki mpira.
Nimesema timu hizi zikiwa nje ya Sudan ni dhaifu sana ila ndani ya Sudan ni hatari mno.
 
Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Sababu ni hizi

Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
Tuna team nzuri kuliko wao..

Tuna talents nyingi kuliko wao.

Kwa mkapa tutawapiga 2+.

Away tuta draw.

Inshallaaah!
 
Back
Top Bottom