Huu ni ukweli mtupu yanga watawatowa al hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini
Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0
Na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1
Sababu ni hizi
Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli
Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa
Kutafuta matokeo
Umenena vyema kila lakheri kwa Yanga.Mungu ibariki Yanga. Tumefanya usajili mzuri kwa kiasi chake. Tumeshathibitisha ubora wetu kwenye ligi ya ndani! Sasa ni wakati wa kuthibitisha ubora wetu Kimataifa.
Tumeanza na Zalan! Na wengine watafuatia.
Kwa hiyo unakubaliana na mchambuzi wetu kuwa mechi ya kwanza nyumbani itaisha 0-0 na ya pili ugenini itaisha 1-1 ?Mungu ibariki Yanga. Tumefanya usajili mzuri kwa kiasi chake. Tumeshathibitisha ubora wetu kwenye ligi ya ndani! Sasa ni wakati wa kuthibitisha ubora wetu Kimataifa.
Tumeanza na Zalan! Na wengine watafuatia.
Wewe wasema.Kwa hiyo unakubaliana na mchambuzi wetu kuwa mechi ya kwanza nyumbani itaisha 0-0 na ya pili ugenini itaisha 1-1 ?
Timu za Sudan Al Hilal na El Merreikh huwa ni dhaifu sana nje ya Sudan ila ni hatari sana ndani ya Sudan.Huu ni ukweli mtupu yanga watawatowa al hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini
Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0
Na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1
Sababu ni hizi
Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli
Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa
Kutafuta matokeo
Sio kwamba hazifungikiTimu za Sudan Al Hilal na El Merreikh huwa ni dhaifu sana nje ya Sudan ila ni hatari sana ndani ya Sudan.
Inawezekana kabisa Yanga kuwafunga hapa Tanzania ila Yanga hawezi kupata sare Sudan kwa sababu ya udhaifu ya ukuta wake.
Al Hilal wanakikosi imara sana kulinganisha na Yanga hivyo Yanga wakijilipua hapa Dar wanaweza kushinda ila Sudan ni ngumu sana kupata matokeo.
Zile timu ni hatari sana zinapokuwa kwenye viwanja vyao vya nyumbani
Yanga watamanuliwa mapema tu tena kwa ile ile staili yao pendwa ya nje ndaniHuu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1
Sababu ni hizi
Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli
Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
Nimesema timu hizi zikiwa nje ya Sudan ni dhaifu sana ila ndani ya Sudan ni hatari mno.Sio kwamba hazifungiki
Zinafungika ni swala la kujiandaa tu.
Al hilal / na kocha ibenge kwa ujumla ukiangalia uchezaji wao huwa wanasumbuliwa sana na timu zinazomiliki mpira.
Tuna team nzuri kuliko wao..Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1
Sababu ni hizi
Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli
Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
Acha ushabiki mandazi Al hilal ana kikosi cha b15 nyie mnauwezo hata wa kusajili hata kwa B2Tuna team nzuri kuliko wao..
Tuna talents nyingi kuliko wao.
Kwa mkapa tutawapiga 2+.
Away tuta draw.
Inshallaaah!
Simbwa mwenye kikosi cha Mil 84 alimfunga Al Ahly mwenye kikosi cha Bil 60 hatukushangaa,Acha ushabiki mandazi Al hilal ana kikosi cha b15 nyie mnauwezo hata wa kusajili hata kwa B2
Wale wa Djibouti vipi? ulitolewa nini?Wale wahadzabe tu waliwatoa jasho je hao mafundi wa mpira mechi zote mbili mpaka half time wabustiwe ndo washinde.
Wale wasudan kusini walipewa dawaWale wahadzabe tu waliwatoa jasho je hao mafundi wa mpira mechi zote mbili mpaka half time wabustiwe ndo washinde.