Yanga watoa droo na Gwambina

Ni suala la mda tu watarudi kwenye nafasi yao ya siku zote
 
Tofauti ni kwamba utopolo imetoa sare kwa kuweka kikosi B wakati Simba walipothubutu kuweka kikosi B wakaambulia kipigo kutoka wazee wa jera jera na wazee wa mpapaso.
 
Akili za usiku hizi, wakati huna uhakika wa kula kesho unamcheka aliekunywa angalau uji leo, kesho tena mje kupost hapa
 
FT Gwambina 0-0 Yanga

Kwa hisani ya refa,Gwambina wamefunga goli likakataliwa. Hata hivyo mwali wetu kaendelea kututunzia bikra. Jumamosi tunakaza
Naangalia msimamo wa ligi hapa kumbe Vyura FC ndiyo wamekalia usukani? Maajabu!!!

Mbumbumbu SC na tambo zao za kikosi kipana wapo nafasi gani vile?

Ngoja nisubri Liverpool yangu saa 5 miye, hii mipira ya bongo michosho tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…