Yanga waweka bango kubwa za mechi walizo wafunga Simba

Ushamba. Baada ya kulishwa makafara ya nyama Sasa wanawekewa bango. Maskini wataendelea kuwa maskini kwa kula matambiko ya matajiri
 
Kuna jamaa amebandika kwenye alphard yake stika zs yanga kuifunga Simba tu.

Nikasema huyu sasa amezidi. Mashabiki wa yanga acheni ukichaa.
 
Mambo madogomadogo kama hayo wanayaweza. Ndio maana mshereheshaji leo kasema Kombe linaletwa uwanjani na mchezaji wa zamani wa timu Taifa Stars na Azam AGGREY MWANRI!!!!!
Ahahahahaha!!!!!
 
Oooh huwezi beba kombe mbele ya mpazu sijui mpanzi,mpanzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…