Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Wakati wanachukuwa wachezaji kutoa As Vita mlisema hivi hivi....kilichotokea nadhani mnaomba Mayele aondoke.....waliona timu imefanikiwa wanafikiri walichukua wachezaji wao na wao watapata hayo mafanikio, hata Simba walipowafunga Tano wakaanza kusajili wachezaji wao.
Tena kipindi hicho walikuwa wanakejeli kuwa Yanga inataka kuanzisha bendi ya wacongoman.Wakati wanachukuwa wachezaji kutoa As Vita mlisema hivi hivi....kilichotokea nadhani mnaomba Mayele aondoke.....
Kila la heri kwa Wananchi. Bila shaka atakuwa ndiye mchezaji atakayekuja kuvaa jezi namba 6!
Time will tell.Hawana mchezaji wa KUMPA JEZI No 6.
Ilikuwa Iende kwa NGOMA NGOMA akaenda Simba.
Wakataka KUMPA mkude, mkude akaomba 20.
Kwani Mkude tayari ni mwananchi? Nilikuwa mabondeni nalima mpunga sijajua wachezaji tuliochukua UtopoloniHawana mchezaji wa KUMPA JEZI No 6.
Ilikuwa Iende kwa NGOMA NGOMA akaenda Simba.
Wakataka KUMPA mkude, mkude akaomba 20.
Pole, jipe mudaHawana mchezaji wa KUMPA JEZI No 6.
Ilikuwa Iende kwa NGOMA NGOMA akaenda Simba.
Wakataka KUMPA mkude, mkude akaomba 20.