Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake.
Kwa sasa kinachoendelea ndani ya klabu yetu YANGA SC ni uhuni uhuni mwingi.
Kila mtu Anapiga pesa kwa njia yake. Taarifa za siri sana kutoka kwa wadau weye sauti za juu kwenye klabu hiyo zinadai kwenye usajili zimetumika Milioni 317 kwa wachezaji wote lakini kwenye matumizi ya Klabu imeandikwa Bilioni 1.4
Pia kuna wafanyakazi ambao wapo ndani ya Yanga SC wataondolewa na wataletwa wafanyakazi wengine.
Na inasemekana kuwa hao wafanyakazi wapya wanaoingia wanatoka upande wa GSM.
Yanga kwa sasa inaenda kuendeshwa kwa matakwa ya GSM na Siyo matakwa ya klabu au wanachama.
Ipo siku ukweli utafahamika hadharani.
Tusubiri tuone.