Yanga whatsapp supporters makao makuu yakamilisha Mchango wake wa milioni moja kwenda katika timu ya Yanga

Yanga whatsapp supporters makao makuu yakamilisha Mchango wake wa milioni moja kwenda katika timu ya Yanga

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU yakamilisha Mchango wake wa milioni moja kwenda katika timu ya yanga:
:
Na
Yangawhatsapp_makaomakuu
:
:
Katika Kukamilisha Malengo Ya Kocha wa Yanga Mwinyi zahera
Na kamati ya Uchangishaji Michango Ya Yanga inayongozwa Na Mh Mavunde Leo Group la YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU,
:
Chini ya Mwenyekiti Wa Kamati Ya Fedha na uhamasishaji Ya Group Hilo Mussa Muro Amewashukuru Wanachama Wa group Kwa mchango Wao Kwa Klabu ya yanga wa Milioni Moja kwenda katika Akaunt ya Mwalimu Zahera kupitia Benk ya CRDB,
:
:
Akiwashukuru wanachama hao Mussa Muro amesema
Kwa niaba ya Uongozi YWSMM.
:
"Napenda kuwashukuru wanachama wetu wote tuliopambana na kujitolea katika kuichangia club yetu pendwa Young Africans Sc, ambayo kwetu imekuwa Kama imani. Ni moja ya sehemu kuu ya furaha katika maisha yetu.; Amesema Murro
:
Pia Murro Ameongezea maneno yafwatayo
:
"Tumechagua kuwa Yanga na Tunaipenda Yanga na tutaendelea kuipigania siku zote"
:
:
Ikumbukwe kampeni hii Ilizinduliwa Mkoani Dodoma Na Watu mbali mbali kukabiziwa Kadi za mchango Na magroup ya Whatsapp Baazi nayo Kupewa kadi hizo na Leo Group la YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU limejumuika na Magroup Mengine Katika Kukamilisha malengo ya klabu.
#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]
IMG-20190427-WA0009.jpeg
 
Halafu ziende TFF kwa ajili ya kulipia faini au anunue vocha Yule kocha. Bora nipeleke kwa yatima au kwa wagonjwa.
 
jamn kama vp waangalie vyanzo vingine vya mapato kwa ho tutachangia mpaka lin huku kitaa kwenyewe hali ngumu
 
Halafu mnakuja kupigwa faini kwa makosa ya makusudi
 
Ina Maana Yanga hawana wadhamini? Sportpesa hawatoi pesa kwao?......Nashindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom