yanga Whatsapp Supporters makao makuu

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Ukiwa kama mshabiki wa YANGA na unahitaji kuwa na kadi ya uwanachama tunakualika siku ya jumapili pale travetain magomeni saa 6:00
 
Attachments

  • 1433226316206.jpg
    41.9 KB · Views: 174
  • 1433226331855.jpg
    54.6 KB · Views: 285
Ukiwa kama mshabiki wa YANGA na unahitaji kuwa na kadi ya uwanachama tunakualika siku ya jumapili pale travetain magomeni saa 6:00

Mimi nahitaji kadi, ila sitainunua maana nimesikia menyekiti wetu YM atatununulia wanachama wapya kadi mpya na kuwalipia wale wenye madeni ya ada ili tuingie kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu wa viongozi ulioitishwa na Francis Kaswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…