Yanga whatsapp supporters makao makuu

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Hili ni group la mashabiki wa Yanga tunawakaribisha wana yanga wote

Kupitia yanga tumeamuwa kwa moyo wetu wa zati kabisa kukikusanya na kusaidiana mambo mbali mbali kupitia Yanga na kuwasamini wanachama wetu wa yanga wote watakao kuwa na kadi za yanga afrika

Na pia group hili lina kingilio na lina ladi zake spesho za kutambulika katika group hili tunawakaribisha wana yanga wote tujenge familia moja ya upendo wa kweli kupitia yanga yetu
 

Attachments

  • 1450445900385.jpg
    75.2 KB · Views: 242
Karibuni
 

Attachments

  • 1450519798933.jpg
    46.1 KB · Views: 155
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…