Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu tumejionea Yanga wakiwa Algeria ambako walipigwa bso 4G Na kutupwa nje ya mashindano Na kukwama kurudi nyumbani baada ya kula nauli ya kuwarudisha nyumbani kutokana Na ukwasi mkubwa.Katibu Mkuubwa Yanga ameamua kutembeza Bakuli kuomba Misaada.
Najua unaweweseka na point tatu muhimu mlizokua mnataka muwapoke kagera sugar...msipende ushindi wa mezani century hii wamatopeniHatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu tumejionea Yanga wakiwa Algeria ambako walipigwa bso 4G Na kutupwa nje ya mashindano Na kukwama kurudi nyumbani baada ya kula nauli ya kuwarudisha nyumbani kutokana Na ukwasi mkubwa.Katibu Mkuubwa Yanga ameamua kutembeza Bakuli kuomba Misaada.
Binafsi sioni tatizo kama pesa waipatayo ni halali kutoka kwa wanachama wao.Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu tumejionea Yanga wakiwa Algeria ambako walipigwa bso 4G Na kutupwa nje ya mashindano Na kukwama kurudi nyumbani baada ya kula nauli ya kuwarudisha nyumbani kutokana Na ukwasi mkubwa.Katibu Mkuubwa Yanga ameamua kutembeza Bakuli kuomba Misaada.
Baada ya kumdhalilisha mlitegemea aendelee kuwa na moyo wa malaika ?! WaTz ni wasahaulifu sana !! Mr Zero Bashite Mungu anakuona na huyo babaako mmetukimbizia Manji tunaadhirka !!Huyu bwana mkubwa Manji yuko wapi siku hiz?
Mkuu oziambo , sasa manji yuko wapi?????Baada ya kumdhalilisha mlitegemea aendelee kuwa na moyo wa malaika ?! WaTz ni wasahaulifu sana !! Mr Zero Bashite Mungu anakuona na huyo babaako mmetukimbizia Manji tunaadhirka !!
Afanye nini huku hamuuthamini mchango wake zaidi ya kumdhalilisha ??!!. Isiwe jela kama hamuuthamini mchango wake basi !!Mkuu oziambo , sasa manji yuko wapi?????
Sijakuelewa. Manji yupo jela? Au kaondoka nchi hii?Afanye nini huku hamuuthamini mchango wake zaidi ya kumdhalilisha ??!!. Isiwe jela kama hamuuthamini mchango wake basi !!
Vp Simba wanapoint ngapi adi sasa kwenye mbio za kuwania ubingwa?