Timu kudai haki nu kutembeza bakuli?
Je mnyama anayedai million 50 za Kessy atakuwa anatembeza ndoo kabisa?
Kutochukua hela muda wote wakati mikia wanaziotea siku zote inaonyesha Yanga hawana dhiki
There is class among beggers as well."A Beggar Can't Be a Chooser" Nyie Mulikataa Mkataba Wa Azam Kwa Kutegemea Hela Za Muhindi.... Sasa Hivi Jamaa Kagoma Kutoa Hela Munaanza Kukumbuka Mkataba Na Kudai Hela Zenu... Hivi Siku Zote Hamukujua Kuwa Hile Ni Haki Yenu?... Acheni Mbwembwe Nyie Vyura FC Masikini Haringi....
The lowest class among beggers are kneelers.There is class among beggers as well.
Ng'ombe hujua umhimu wa mkia pale unapokatika Leo ndo mnajua ni haki yenu...Timu kudai haki nu kutembeza bakuli?
Je mnyama anayedai million 50 za Kessy atakuwa anatembeza ndoo kabisa?
Kutochukua hela muda wote wakati mikia wanaziotea siku zote inaonyesha Yanga hawana dhiki
Utambuzi gani wanataka wakati mechi zote za Yanga zinarushwa? Bila mechi za Yanga nani ataangalia huo mpira kwenye runinga?Ng'ombe hujua umhimu wa mkia pale unapokatika Leo ndo mnajua ni haki yenu...
YANGA Bwana!!
**Mmeshaandika Barua ya kuutambua mkataba lakini**
Unajuwa unachoandika p wewe?Udhamini wa TBL ulikuwa Milioni 500 tu.m
Wewe uliyechukuwa umevuna nn four years?"A Beggar Can't Be a Chooser" Nyie Mulikataa Mkataba Wa Azam Kwa Kutegemea Hela Za Muhindi.... Sasa Hivi Jamaa Kagoma Kutoa Hela Munaanza Kukumbuka Mkataba Na Kudai Hela Zenu... Hivi Siku Zote Hamukujua Kuwa Hile Ni Haki Yenu?... Acheni Mbwembwe Nyie Vyura FC Masikini Haringi....
Naona matefa wana kubali magoli yenu sasa...mfano dhidi ya jktYanga bwana Maji ya shingo Manji anawadai nae anadaiwa Simba inawadai wachezaji wanadai mishahara IPO Kazi Marefa mtawapa nini ili wakubali magoli ya Chaneta?
Hatuandiki...tunajua tukifanyachoNg'ombe hujua umhimu wa mkia pale unapokatika Leo ndo mnajua ni haki yenu...
YANGA Bwana!!
**Mmeshaandika Barua ya kuutambua mkataba lakini**
Ndiyo kwanza wanadaiwa kila kona. Hela ya Okwi wamelamba hatusikii tena kelele zimehamia kwenye faini ya Kessy.Wewe uliyechukuwa umevuna nn four years?
Naona matefa wana kubali magoli yenu sasa...mfano dhidi ya jkt
Utambuzi gani wanataka wakati mechi zote za Yanga zinarushwa? Bila mechi za Yanga nani ataangalia huo mpira kwenye runinga?
Hela haipo sasa wanatafuta sababu za ku delay kulipa. Yanga wanalijua hilo.
Utambuzi gani wanataka wakati mechi zote za Yanga zinarushwa? Bila mechi za Yanga nani ataangalia huo mpira kwenye runinga?
Hela haipo sasa wanatafuta sababu za ku delay kulipa. Yanga wanalijua hilo.
Azam Tv sio hisani. Get that into your mind. Television adverstisement is a huge business! What the Clubs are getting must go hand in hand with thier status thus thier contribution to what Azam Tv will generating.Hivi Azam (Bakhresa) Hana pesa Za Kuwalipa Nyie Vyura FC????
Ana Uwezo Wa Kulinunua Genge Lenu Lote la Madimbwi Ya Jangwani..
Ligi ya Spain Barca na R Madrid hawalipwi sawa na timu nyingine. Kwenye EPL kiasi fulani timu ndogo zinafikiriwa lakini malipo ya mwisho huendana na nafasi kwenye ligi. Haiwezekani Yanga ilipwe sawa na mikia mwisho wa msimu kwa kushika nafasi ya tatu.Hivi Azam (Bakhresa) Hana pesa Za Kuwalipa Nyie Vyura FC????
Ana Uwezo Wa Kulinunua Genge Lenu Lote la Madimbwi Ya Jangwani..
Utegemezi mbaya sana. Kwani kimebadilika nini?Kwenye yale mliokuwa mnagomea?Si mlisema mkataba wa kinyonyaji?Mbona sasa mnalamba matapishi?Mnakubali kulipwa kwa vigezo gani sasa?Ya MO yatakufanya uharishe huu ni mwanzo tu.Ungeanza na ushauri wa kutembeza bakuli ili madeni yenu yalipwe.Just being curious hivi mmejibiwa nini ustawi wa jamii mlikopeleka kesi ya kunyimwa matumizi?Ligi ya Spain Barca na R Madrid hawalipwi sawa na timu nyingine. Kwenye EPL kiasi fulani timu ndogo zinafikiriwa lakini malipo ya mwisho huendana na nafasi kwenye ligi. Haiwezekani Yanga ilipwe sawa na mikia mwisho wa msimu kwa kushika nafasi ya tatu.
Muuzieni timu Mo ili aje awauzie watu wengine baadaye tena kwa faida kubwa tu.
Unapoamua kuandika kiingereza basi andika kiingereza sahihi.Azam Tv sio hisani. Get that into your mind. Television adverstisement is a huge business! What the Clubs are getting must go hand in hand with thier status thus thier contribution to what Azam Tv will generating.