haki yenu kivipi??Mkuu, haki yetu iko pale pale.
Jamaa wameanza kuweka vikwazo maana walishazikopa siku nyingi
Utasikia mtafutano mkubwa
mkuu hawa vyura kama hawana mkataba madai yao wanalipwa kwa order ipi??Mkuu ukweli unauma eti??
Haya andikeni barua kuutambua mkataba wa azam
Yakheee mwajitia mnapesa kumbe ni makapuku,
Any way hiyo ndio hasara ya kumtegemea mtu mmoja katika malipo ngoja nI
niwekee hiyo picha nimuone huyu chura mkuu!Kwenye ile picha ya wapiga magoti wewe ndio huyo mwenye shati la light blue?
kama mnacheza azamu basi walikuja kuionesha azamu.Utambuzi gani wanataka wakati mechi zote za Yanga zinarushwa? Bila mechi za Yanga nani ataangalia huo mpira kwenye runinga?
Hela haipo sasa wanatafuta sababu za ku delay kulipa. Yanga wanalijua hilo.
Sizitaki mbichi hiziMkuu, haki yetu iko pale pale.
Jamaa wameanza kuweka vikwazo maana walishazikopa siku nyingi
Utasikia mtafutano mkubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msiba hauji peke yake. Twite nae anadai milioni 10 wanamzungusha. Milioni 10 imekuwa sawa na milioni 100.Ukata usikie tu.
That is day dreaminghaki yenu kivipi??
mkataba upo wapi??
bodi yaligi na tff hakikisheni hawa vyura wakiingia mkataba ndio waanze kulipwa kuanzia siku ya mkataba kwenda mbele na sio kulipa madeni ambayo hayapo kwenye mkataba!
mtaanza kulipwa effective kulingana na tarehe ya mkataba!!
Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?kama mnacheza azamu basi walikuja kuionesha azamu.
kama mnacheza na simba basi azamu walikuja kuionesha simba.
kama mnacheza na ndanda basi walikuja kuionesha ndanda ndio maana wana mkataba na ndanda kurusha mechi zao!
sasa nyie vyura mnadai hela ipi ilihali hamna mktaba wowotey baina yenu na azamu tv??
kalimeni vibarua huko manungu mpate hela nyiee vyura!
Will generate or will be generating. Minor issues!Unapoamua kuandika kiingereza basi andika kiingereza sahihi.
Will generating kosa.
Ungeandika will generate.
Mkataba una wahusika watatu.Azam TV,bodi ya ligi na timu husika. Timu zikiafiki masharti ya mkataba ndio zinapatiwa pesa.Ndio sababu Yanga waliugomea mwanzoni wakiuita mkataba wa kinyonyaji. Leo ukata umezidi wanajifanya kudai. Bodi nayo imewapa masharti ya kuandika barua ya kuutambua mkataba kwani mwanzoni waliupinga. Wanakwepa kuandika barua kwani itakuwa kwenda kinyume na msimamo wa jamaa.Jamaa aliupinga kwa nguvu zote.Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?
Kuna sehemu mikia wamesaini?
Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?
Kuna sehemu mikia wamesaini?
Ha ha ha Yanga ni sawa na demu? No comment kwa kweli!Baada Ya Manji Kuwahonga Wachezaji Wenu Vyura FC mukajiona Hamuna Shida Ya Hela... Sasahivi Jamaa Kazima Simu na Anawadai Billion 11 Munaanza Kupigia Magoti Azam Wawaruzuku Pesa Muliozigomea Mkataba Wake....
Yaani Yanga Ni Sawa Demu Anaerudi Kwa Bwana Wake Wa Zamani Baada Ya Kukataliwa na Bwana Mpya....
Nani anamdai nani?Baada Ya Manji Kuwahonga Wachezaji Wenu Vyura FC mukajiona Hamuna Shida Ya Hela... Sasahivi Jamaa Kazima Simu na Anawadai Billion 11 Munaanza Kupigia Magoti Azam Wawaruzuku Pesa Muliozigomea Mkataba Wake....
Yaani Yanga Ni Sawa Demu Anaerudi Kwa Bwana Wake Wa Zamani Baada Ya Kukataliwa na Bwana Mpya....
Wacha kujitia hamnazo. Aliyesema anaidai Yanga bilioni 11 unamjua. Ukijifanya zuzu kutuuliza sisi tukujibu nini?Nani anamdai nani?
Nadhani sasa unaacha discussion na inaanza kuwa too personal. Zuzu atakuwa baba yako sio mimi. Humu discuss issue acha matusi hata kama hupendi mawazo ya mtu. Come mierda!Wacha kujitia hamnazo. Aliyesema anaidai Yanga bilioni 11 unamjua. Ukijifanya zuzu kutuuliza sisi tukujibu nini?
Kiswahili lugha ngumu. Umeambiwa unajifanya "zuzu".Kama huwezi joto la jikoni usiingie jikoni. Huna hadhi ya kutukanwa na mimi wewe.Umeuliza swali umejibiwa. Umetukana watu umeguswa kidogo unaruka kama paka aliyebanwa mkia na mlango.