Yanga ya' magazetini' yafa kiume Tunisia..!

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,451
Reaction score
2,059
Hakuna kipya,hadidhi ni ile ile.Ikicheza bila malengo pasi nyingi za kurudi nyuma huku etoille wakiwa pungufu toka dk ya 42 ya mchezo,Yanga imeshindwa tena mbele ya waarabu.
Mchezo wa awali wengine walidai sare ni kwa sababu Telela hakuwepo!na sababu zingine nyingi ziszo na mashiko.Sasa kujustify kauli zao wataandika yafa kiume,refa na wasaidizi hawakuwa fair etc.
Ni wakati wa kuachana na visingizio,wachezaji bado hawajaonyesha commitment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…