Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup

Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Klabu ya Yanga wamealikwa kushiriki michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup nchini Afrika Kusini [emoji1221]

Timu zitakazoshiriki:
[emoji1221] TS Galaxy
[emoji629] Augsburg
[emoji1241] Young Africans
[emoji1235] Mbabane Swallows

Michuano hiyo itaanza 20 - 27 July 2024.
 
Ya Toyota inaanza lini?
20240709_151729.jpg

Cc ephen_
 
Ufukwe wa Coco Fc aka Dampo FC aka Uto.. hii angalau itapuguza aibu ya kufanyia preseason ufukwe wa Coco
 
Back
Top Bottom