OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata Prisons nayo ni ya kuiroga?Ndumba iliwekwa na prison, juma shaban akaenda kuifukua
ndo umeandika nini sasa? hyo video umeiona?Yaani hata Prisons nayo ni ya kuiroga?
Yale maji ya kazi gani kama si ushirikina?ndo umeandika nini sasa? hyo video umeiona?
🚮🚮🚮Yale maji ya kazi gani kama si ushirikina?
Umeangalia video au ume comment tu ili mradi uonekane ume comment?Yaani hata Prisons nayo ni ya kuiroga?
Hapo ushahidi upo wazi kabisa
Umeona yale maji yaliyomwagwa? Yalimwagwa na nani?Umeangalia video au ume comment tu ili mradi uonekane ume comment?
hamya nani mweeeYaani hata Prisons nayo ni ya kuiroga?
Aliyekamatwa na ngozi ndio mwizi
Wewe mwenye macho hebu screen shot hata mtu akiinama basi iwe ushahidi. Hii video haibadili chochote
ndio umeandika nini sasaWewe mwenye macho hebu screen shot hata mtu akiinama basi iwe ushahidi. Hii video haibadili chochote
Akatufanya kama hatujaionaYale maji ya kazi gani kama si ushirikina?