denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 May 10, 2022 #21 Utopolo wanaichafua taswira ya mpira wetu duniani wakati Simba SC wakijitahidi kuijenga.
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,134 Reaction score 4,124 May 11, 2022 #22 ngebe said: Ndumba iliwekwa na prison, juma shaban akaenda kuifukua View attachment 2218837 Click to expand... Yanga na wenyewe waliamini ktk hayo NB anayeagua na kuaguliwa wote ni washirikina kwa kuwa hakuna kati yao aiaminiayo siku ya mwisho
ngebe said: Ndumba iliwekwa na prison, juma shaban akaenda kuifukua View attachment 2218837 Click to expand... Yanga na wenyewe waliamini ktk hayo NB anayeagua na kuaguliwa wote ni washirikina kwa kuwa hakuna kati yao aiaminiayo siku ya mwisho