Yanga yaathiriwa na kukosekana kwa makocha hawa

kilimbamula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,792
Reaction score
853
Kusuasua kwa timu ya Yanga katika ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/2018 inasadikiwa kutokana na kutokuwepo kwa timu zinazofundishwa na makocha hawa katika ligi kuu
1. Charles Mkwasa
2. Fred Minziro
3. Juma Mwambusi

Aidha, kushuka kwa Toto Africa nalo linatajwa kuwa ni pengo kubwa kwa timu hiyo. Wadadisi wanasema Meck Mexime pekee hakuweza kutoa mchango mkubwa.

Hayo ni maneno ya mashabiki walipokuwa wakichambua mwenendo wa Yanga mwaka huu. Wachambuzi hao wanakataa katakata kuwa kuzorota kwa Yanga hakutokani na ukosefu wa pesa.

Kwa upande wenu mnazionaje hoja hizo?
 
 
 
Hata bei ya pamba mwaka Jana haikuwa nzur sana nayo imechangia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…