Changia timu wewe!Yaani safari hii mashabiki wote wa mikia wanajiona Malaika. Aiseeeeee.
Enheee hivyo hiyo blue tick imewaongezea bilioni ngapi kwani wenzetu?
Nishachangia Mkuu. Vp we tayari? ππChangia timu wewe!
Wakati mwingine ni heri kuficha ujinga wako. Sasa hiyo blue tick na yenyewe ndio ya kufungulia uzi.? Hivi kwa ujinga huu si bado mnaendelea kuiabisha nchi. Mtu ataanzaje kujisifia Mtanzania kwa watu kama wewe?
masikini akipata matter core hulia mbwatter.
Katika hali isiyokuwa yakawaida team ya Yanga wakiongongozwa na mashabiki wao wamelalamika wakisema club ya Simba imenunua blue tick ya Instagram (verification account).
Hawa mashabiki wa Yanga inaonesha ni watu wenye roho mbaya na wivu mkali mno wanaweza hawajui kuwa mpira sio uadui hawafai kuitwa watani bora tuwaite maadui tu.
Blue tick inamaana gani has a na faida yake ni nini
Hivyo hiyo kauli ya mtu mmoja ikafanya ujumuishe Shabiki wa timu ya Wananchi wote. Duuuh.#tupovizuriView attachment 1076353
TASAF leo imesema inawatafuta wanachama wake waaminifu.Wakati mwingine ni heri kuficha ujinga wako. Sasa hiyo blue tick na yenyewe ndio ya kufungulia uzi.? Hivi kwa ujinga huu si bado mnaendelea kuiabisha nchi. Mtu ataanzaje kujisifia Mtanzania kwa watu kama wewe?
masikini akipata matter core hulia mbwatter.
Comment yako ya kwanza mbona umei delete? Uzuri ilishakua quotedNishachangia Mkuu. Vp we tayari? [emoji41][emoji41]
Unataka kuniquote niiandike tena Mtani? π πComment yako ya kwanza mbona umei delete? Uzuri ilishakua quoted
Kumbe nawe unateseka juu yetu? Karibu chamaniUnataka kuniquote niiandike tena Mtani? [emoji28][emoji28]
Hujajibu swali Mtani, Niirudishe?Kumbe nawe unateseka juu yetu? Karibu chamani
Daaaaaa! Mwana Yanga, mfia timu!Wakati mwingine ni heri kuficha ujinga wako. Sasa hiyo blue tick na yenyewe ndio ya kufungulia uzi.? Hivi kwa ujinga huu si bado mnaendelea kuiabisha nchi. Mtu ataanzaje kujisifia Mtanzania kwa watu kama wewe?
masikini akipata matter core hulia mbwatter.
Halafu nimekutag ujue. π π π π π π πComment yako ya kwanza mbona umei delete? Uzuri ilishakua quoted
[emoji23]sijaona [emoji125]Halafu nimekutag ujue. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]