kurasa za kijamii za club ya simba ndio zinaongoza kwa idadi ya followers katika timu zote za mpira easf africa. kwa maama hiyo simba inastahili kuwa na kurasa ambazo ni verified.
watu wa yanga acheni wivu. hamasisheni mashabiki wenu wawe wanazi-follow kurasa zenu.