Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Mkemi povu limemtoka utafikiri yeye ndio kiongozi wa kagera kisa simba kupewa pointi Leo ndio anasema hana iman na kamati miaka yote alikuwa wapi?
hakuna time limitation?Ingedai pointing 6 kwani imechelewesha wadai Na riba
Bashite na wewe wote watotoMakonda tunaomba mshughulikie huyu Mkemi amezidi mdomo kha! Nasikia ana supermarket tuma vijana wako au tra. Kama umemnyoosha Manji hakika haka ka Miami ni kadogo sana kwako.
hilo kombe kutengeneza sh ngapiMsijitoe akili kwa hili LA simba kupewa points za bure jamani...
Ishu ni kuwa kwa vyovyote yanga ndo angekuwa bingwa hawamu hii ila kilichofanywa na TFF ni kulinusuru kombe LA premium League ambalo yanga ingelichukua jumla kwan hii ilikuwa ni Mara yake ya TATU kulichukua na hapo ingekuwa ni gharama kubwa kwa TFF kulitafuta kombe jingine lenye hadhi kxm ya hilii.
Kilichofanyika ni busara za FIDODIDO au ABUNUWASI za hawa wahuni wa TFF